Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawatu huyo.Alikiba ni kama alivyo Wema Sepetu, hakuna cha maana walichofanya zaidi ya kuwa na nyota ya umaarufu tu.
Sasa hapo umejibu swali au umeanzisha mada yako na ww....mjadala ulikua kaifanyia muzik wa tz,. ..Kiba hajawahi kuhangaika na Diamond ila Diamond ndio huanzisha malumbano kila anapoona hawazungumziwi kwenye ugomvi, Kiba amemjibu modi kuwa najua hunipendi 100% baada ya modi kuimba kuwa analazimisha kuvaa pensi, baada ya hapo kiba katoa nyimbo mondi kaweka kicheko cha dharau mwenzake amejipatia watazamaji wa kutosha, sasa why uulize Kiba kaufanyia nini muziki zaidi ya modi?! Kiba anaimba kama ambavyo mondi anaimba... Unaweza kumtoa mswahili uswahili lakini huwezi kuutoa uswahili ndani mwake, Mondi mswahili anapenda kujikweza..