Kiba hajawahi kuhangaika na Diamond ila Diamond ndio huanzisha malumbano kila anapoona hawazungumziwi kwenye ugomvi, Kiba amemjibu modi kuwa najua hunipendi 100% baada ya modi kuimba kuwa analazimisha kuvaa pensi, baada ya hapo kiba katoa nyimbo mondi kaweka kicheko cha dharau mwenzake amejipatia watazamaji wa kutosha, sasa why uulize Kiba kaufanyia nini muziki zaidi ya modi?! Kiba anaimba kama ambavyo mondi anaimba... Unaweza kumtoa mswahili uswahili lakini huwezi kuutoa uswahili ndani mwake, Mondi mswahili anapenda kujikweza..