Ali kiba kajiandae vs Diamond kokoro

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
ALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA

,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me Niliuza Jana ili tupate pesa ,
Kwanza Uvae Upendeze Na tabasamu upate uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,

Mshahara Bado Mashaka Kazini Sijalipwa Liwezekanalo leo Lisingoje kesho,
WE NDO RAHA YANGU NA ME NDO RAHA YAKO
MENEJA WA ROHO YANGU me KAJIANDAE


DIAMOND
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh

Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
yayaaaiya
Yebaaaaa

Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa


Duuu ALI KIBA ATABAKI KING TUU
 
Ofcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazingua
 
Hahahaha Diamond Noma....

Ila Huyu Jamaa Akishaonaga Team Kiba Wametoa Wimbo Naye Anatoa Ili Kuizima Nyimbo za Team Kiba
 
hahahaaa

MKUU WE NI KIMAVI AISEE
 
Watanzania na roho zetu mbaya
 
Hizi team zisizi na viwanja ndo zinafanya mziki wetu usifike mbali...

Kama BET tunakosa sababu ya team GRAMMY tusije jaribu kuiota
 
Hahahaha Diamond Noma....

Ila Huyu Jamaa Akishaonaga Team Kiba Wametoa Wimbo Naye Anatoa Ili Kuizima Nyimbo za Team Kiba
Baada ya salome kiba alitoa collable mbili nitulize na nisamehe je na yy lengo lake ilikuwa kuizima salome
 
nimeamini anayekuchukia hata ukiogelea atasema unamtimulia vumbi
 
Uwezo wako uko Chini ya nyayo zako
 
I love both Alikiba and Diamond, kwanza wanawakilisha nchi yangu vema lakini pia wanawakilisha mkoa wangu wa Kigoma vizuri pia
 
Kuna msanii hana vina
nimetafuta kwa tochi nimevikosa
 
aina ya mziki anaofanya haitaji vina nenda kamsilikize R.Kelly kama ana vina kwenye nyimbo zake

Huyo mwingine mjanja mjanja ndio lazima aweke vina kama anafanya hip hop kwa sababu analazimisha vitu.
Huyo anayelazimisha ana mafanikio kuliko huyo anayejua why ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…