Ali kiba kajiandae vs Diamond kokoro

Uandishi wa Alikiba haufuati vina
 
Hivi Tanzania hakuna wasanii wa kuimba zaidi ya hawa wa wili tu?
 
ungesikiliza huu wimbo hamuezi kuongea ya Kimbudula wenu huyo.
Usher ft Young Jeezy-Make Love In This Club.
 
Wivu wa kike huo,umetumia vigezo gan kusema kiba kaharibu?
 
Izo line za kiba, msanii wa aina yyt ata underground anaweza chora coz hazina ubunifu wwt ni verse za kawaida sanaa tena sana......ila za domo zipo ki creative kidogo
Weka zako bas tuone maana unajifanya unazijua kazi za watu sana
 
Mnaomsifia diamond,kwenye hyo verse yake apo kaimba nn? Upuuzi tu na matusi,sidhani kma hzo nyimbo unaweza ukasikiloza au kutazama na mzazi wako......tunaandika vitu sense sio upuuzi wa matusi......king kinga go go kipenzi cha watu
 
Sasa hapo umeona vina?!

Au lugha ya kigeni imekutetemesha?!
 
Sasa hapo umeona vina?!

Au lugha ya kigeni imekutetemesha?!
 
Nilivyochunguza kibakuli siku hizi anasubiria huruma tu ya watu flani ili aonekane binge la msanii
Mind yy ameshakua sana kimuziki na uzoefu mkubwa sana
 
Ukiangalia uandishi wa mond ni mtu anaezingatia sana njia zote za kiuandishi wa mashairi kuanzia vina adi mizan jambo ambalo wasanii wengi waneshindwa kwa mfano angalia lyrics za huu wimbo apo ndo utajua uwezo wa domo kwny uandishi

DIAMOND PLATNUMZ – NASEMA NAWE LYRICS



Halloo, mmh!

Ah, kutwa kiguru njiani, majirani wote wamekuchoka

Mara chumba cha fulani, mtu gani we kwako usiokaa

Washinda vibarazani, ya wenzako kuropoka

Kwa kuwa umemuona fulani ona uso ulivyokukoboka

Sio mwisho vibaoni, hadi kwenye vigodoro

Usio na haya usoni, kote wazua migogoro

Hivi wewe haujioni, kuwa una kasoro

Uso mchana jioni si wajuzi si tomorrow

Sio mwisho vibaoni, kwenye vigodoro

Usio na haya usoni, kote wazua migogoro

Hivi wewe haujioni, kuwa unakasoro

Uso mchana jioni, si wajuzi si

Ah!




Nasema nawe

Nasema nawe

Nasema nawe



Uso haya nasema nawe

Umezoea….nasema nawewe

Chezea chezea…nasema nawe

Ah umezidi…nasema nawe

Zidi….nasema nawe

Zidi…nimechoka nasema nawe


Mh, mh


Ah! zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukaka

Usio mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa

Usio hiana fedhuli uongo umekujaa

Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa

Agah! Mwenzako mimi turufu si garasa

Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa

Tena jokari la nguvu makarata

Lile hodari maguvu si kwasakwasa

Oh! mwenzako mimi turufu si garasa

Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa



Nasema nawe


Nasema nawe

Nasema nawe



Uso haya nasema nawe


Nasema nawewe

Nasema nawe

Nasema nawe



Nimechoka nasema nawe


Umezoea…nasema nawe

Chezea chezea nasema nawe

Ah! Umezidi…nasema nawe

Zidi…nasema nawe

Uso haya nasema nawe

Oh!…nasema nawewe



Nasema nawe


Nasema nawe

Nasema nawe
 
Mna matatizo ya akili nyie ndii maaana mnapenda miziki ya kokoro
Hakuna wimbo alikiba alishirikishwa hapa bongo na usiwe mzuri
Kama upo lete moja ay mbili tu
 
Ha ha ha, watanzania tuna ushabiki wa ajabu sana. Hivi apo diamond ndo kaandika nini? Ndo maana wenzake wakasema mjanja mjanja, though mi nakubali uandishi wake katika nyimbo zake nyingine but in this one, hakuna alichoandika kabisa.

Afu lazima tujue sio kila mashairi yanafata urari wa vina. So sioni sababu ya kumsimanga Kiba kwanini haweki vina, unless kama umekariri kila shairi lazima liwe na urari wa vina.
 
mmmm mond yupo nondo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…