Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Mistari aliyoandika kiba ni verse za kawaida sana ambazo ata underground anaweza choraHa ha ha, watanzania tuna ushabiki wa ajabu sana. Hivi apo diamond ndo kaandika nini? Ndo maana wenzake wakasema mjanja mjanja, though mi nakubali uandishi wake katika nyimbo zake nyingine but in this one, hakuna alichoandika kabisa.
Afu lazima tujue sio kila mashairi yanafata urari wa vina. So sioni sababu ya kumsimanga Kiba kwanini haweki vina, unless kama umekariri kila shairi lazima liwe na urari wa vina.
Kiba anayo moja ya mtunzi bora kwny ktma ya 2015mondi alishashinda tunzo ya muandishi bora mara mbili huyo kiba ata ajawai kuwa nominies
What's so special kwenye hizo lines za diamond? Maana mi naona kawaida sana au kilichokuchanganya ni izo -re -le?Mistari aliyoandika kiba ni verse za kawaida sana ambazo ata underground anaweza chora
Lkn kwny mistar ya mond kaonyesha utofauti kidogo
Aliwah kufanikiwa?Hahahaha Diamond Noma....
Ila Huyu Jamaa Akishaonaga Team Kiba Wametoa Wimbo Naye Anatoa Ili Kuizima Nyimbo za Team Kiba
Hahaa[emoji23] [emoji23] wee jamaa hahaaMmoja anamzidi mwingine vitu vingi mkuu, huyo mmoja anaringia sauti yake ya kwanza ktk kwaya ya kanisa
Haiwezi kunichoma mie koz sina majungu ya kike kma yako hujui lolote kuhusu muziki then unakoment ujinga wako bila facts,kaa kimya usilete mihemko ya uswahilini hapaImekuchomaa eeeeh...iache ipenye
Ww unaejua kuhusu mziki una single ngapi au unaropokwa tu.....kila mtu na mtazamo wake so ukiona mtazamo wng haujaupenda pita ivHaiwezi kunichoma mie koz sina majungu ya kike kma yako hujui lolote kuhusu muziki then unakoment ujinga wako bila facts,kaa kimya usilete mihemko ya uswahilini hapa
Ofcoz ally ni king kabsa...kwa kariakoo ally ni king but kwa Tanzania na afrika atupitishe kidogo hajui kuimba. Unajua nyimbo ya nisamehe baraka kaimba vizuri Sana allykiba kaiharibu nyimbo...hata kajiandae poz kwA poz kaimba vizuri sana ally kazingua
Ogopa nyimbo haina vina na haichoshi kuisikilizaUandishi wa Alikiba haufuati vina
Uandishi wa Alikiba haufuati vina
Isipokuchosha ww usizani kila mtuOgopa nyimbo haina vina na haichoshi kuisikiliza
Njia je?..pita njia za kiba uchanike koo Hahahaaaa kambaaaafIzo line za kiba, msanii wa aina yyt ata underground anaweza chora coz hazina ubunifu wwt ni verse za kawaida sanaa tena sana......ila za domo zipo ki creative kidogo
Andika na yako peleka clouds tuone Dada.alikiba kaandika ngonjera
Uwezo na mafanikio vitu viwili tofaut.Huyo anayelazimisha ana mafanikio kuliko huyo anayejua why ?
Hujanya umeharaaa...uandishi barnaba ,bele,Ali kiba unawaacha wapi?..naona anakunyakunya tu hapo hamna kitu.Tukiacha ushabiki katika uandishi wa mashairi Diamond yupo vizuri ila kama tutabaki tu kung'ang'ani u'king tu basi tukumbuke siku zote mfalme nyani atabaki kuwa mfalme kwa nyani wenzake tu.
Haya weka na ya Karim au nyimbo yyte ya ALIKIBA uone ELIMU iliyomo ndani yake.
Diamond Platnumz
"Ukimwona"
Verse 1
Mmmm Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kun’gan’gania mana sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe
Ooh ila mpe shukrani kwa kuniumiza Surayaa
Mwambie mi bado maututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani mwambie mapenzi mabayaa
Tangali hai kairuki singetibu ugonjwa wangu
Chorus
Kutwa nzima moyo unanidundadunda (dunda )sina mali nasaka rumba(rumba)
Haa unidundadunda sema chineti wee moyoo
Unanidundadunda (mami moyoo)sina mali nasaka rumba(ohoo mimi) na
Unanidundadunda eeeh ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Verse 2
Maneno wamwambia marafiki marafiki wabaya
Tena wengi waongo wala wasimdanganyee
Ooh yani mashoga rafiki oh marafiki wabayaaa ooh mmmh
Tatizo mi bado nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka akafunga virago na akaamua kuondoka sitambui
Ubaya kinachoniumiza maneno neno maneno
Mara wandugu rafiki kwa nini anawapa misemo
Najaribu papasa mbona kwa macho hata huna chochote
Ila ndo kutwa mikasa na ninazidi kuanguka niokote
Chorus
Kutwa nzima moyo unanidundadunda (dunda )sina mali nasaka rumba(rumba)
Haa unidundadunda sema chineti wee moyoo
Unanidundadunda (mami moyoo) sina mali nasaka rumba(ohoo mimi) na
Unanidundadunda eeeh ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona
Ukimwona