Ali kiba kama Man u vile.....

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Nina mdau wangu mmoja yeye ni shabiki mkubwa wa bwana kiba ila kakata tamaa kabisa kwa sasa..
Mtazamo wangu kwa bwana kiba ni kwamba....

Nyimbo aliyotoa na kundi lake ni ya kawaida, ci ya kuimba yeye kiba iko kiwango cha under ground km alioimba nao

Utaratibu anaotumia kutambulisha wasanii wake sio mzuri,alitakiwa kumtoa mmoja mmoja na kumtambulisha kwenye media na kufanya promotion ya nguvu coz mziki wa sasa bila promotion huwezi fika mbali.

Ali kiba yuko slow sana haendi na wakati ..alitakiwa awe na watu makini wanamfanyie kazi ila inaonekana ni mbinafsi na hashauriki..na anapenda kutoa majibu mepesi kwenye hoja nzito.

Natambua yuko chini ya7 ila kiukweli naye7 yuko slowly sana Nina wasiwasi sana na utendaji wake wa kazi km angekuwa makini hata kwa30% sidhani km kiba angevurundavurunda hivi

Ali kiba anakumbatia mambo mengi kwa wakati 1 ambavyo inaonekana waziwazi vinamshinda
Mara Mziki Mara mpira(the rolling stone gathers no mosses)...

Kuna taarifa niliipata ameingia kwenye mpira lengo kuu ni kupromote kinywaji chake na ndio maana hata mashabiki wa mpira nao anawazingua tu haishi sababu kila siku na kucheza hachezi..

Mziki umechange sio km zamani unatoa nyimbo unaipa miezi6 sokoni ..Mziki wa sasa ni ngoma juu ya ngoma..

Watu wanapata nyimbo kwa haraka sana na wanazichoka kwa haraka sana hata km ni hit song...naamini wapo wanajf wako karibu na kiba kiukweli anadissapoint mashabiki..
Namshauri arudishe lile bifu lake upya ili arudi kwenye ramani lilimsaidia sana.

Anatakiwa ajifunze wengine wanafanyaje ila shida ya kiba ni kibri anahisi ataonekana anaiga ..hapana mfumo wa Mziki uko hivo utarukaruka mwishowe ili ufanikiwe lazima ufanye promotion ya kutosha

Uvyozungumzia waandishi bora na wenye sauti lazima utamtaja Ali kiba,Lazima abadilike lasivyo mpaka kufikia mwakani atakuwa wa kawaida sana...hakuna atakaye mstuka tena..itakuwa km benpol au chid benzi akitoa nyimbo, uwa ni kawaida hata km wakitoa nyimbo nzuri.

Nimeamua kumwongelea kiba cz wengi tunaamini ni giant musician after diamond au anaweza akawa the first than diamond inategemea na mtazamo wa mtu binafsi
......Kumshabikia Ali kiba sawa sawa na kula nywele.......
Povu ruksa cz najua wanazi wapo kipenda roho ula nyama mbichi.
"the drawing man will scratch a straw"
 
Sijawahigi kuwa shabiki wa huyu jamaa sababu ninakipaji chakupima ubora wa muziki katika wakati huu.
Nashangaagasana wanao mfananisha na diamond, huyu saiziyake ni kina mboso, na akishangaakidogotu atakuwa kama feruzi.
 
mzee wa kutoa ngoma za kisebene sio wote ni wanenguaji ajaribu kuimba hata reggae
 
Sijawahigi kuwa shabiki wa huyu jamaa sababu ninakipaji chakupima ubora wa muziki katika wakati huu.
Nashangaagasana wanao mfananisha na diamond, huyu saiziyake ni kina mboso, na akishangaakidogotu atakuwa kama feruzi.
Hahahahahaaaaa
 
Sijawahigi kuwa shabiki wa huyu jamaa sababu ninakipaji chakupima ubora wa muziki katika wakati huu.
Nashangaagasana wanao mfananisha na diamond, huyu saiziyake ni kina mboso, na akishangaakidogotu atakuwa kama feruzi.
Mashabiki wanaumia
 
Sholole naye anampotosha, mashabiki Leo tandale wanaimba simba, simba, shilole anasema wanaimba kiba, mazito
 
Mkuu umejiandaa vya kutosha lakini
Ngoja team yake ije ikutolee mapovu

Huo ukweli ulioongea ni mchungu sana kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…