Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,436 Nov 11, 2019 #21 soko la mziki hapo kale lilizifanya nyimbo ziishi ajili ya mfumo wake bt now soko la kidigital linaangalia biashara na si kudum wimbo, watu wanaangalia ngoma imelipa basi wanaleta mzigo mpya wapige pesa bt yeye yupo na mambo yakizaman
soko la mziki hapo kale lilizifanya nyimbo ziishi ajili ya mfumo wake bt now soko la kidigital linaangalia biashara na si kudum wimbo, watu wanaangalia ngoma imelipa basi wanaleta mzigo mpya wapige pesa bt yeye yupo na mambo yakizaman