Ali kiba kasema hashindani na mtu

Huyo afanye muziki mashindano nani kamuuliza...hiyo tuzo ya huyo dogo imemfanya avimbiwe mpka akili
 
kwani nani aliwahi sema ana shindana na AK ?
halaf ni mwaka sasa hajatoa wimbo, huwez shindana na msanii aso toa nyimbo kabsa.
Ahahaaaaa anatafuta kiki. Maana alovyojidai kufuta vumbi kiti chake hakua anashindana na watu kweli. Leo anageuza kibao
 
Labda ana chanzo kingine cha mapato
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
mi huwa ana niacha hoi hapo tu, akijitahid huwa mwaka mzima anatoa wimbo mmoja. ila mashabiki wake huwa wana mbeba sanaa asipotee.
ni msanii mzur kiaina though
 
Haujaachaga majungu tu!!
 
Kiba kipaji anacho tatizo menejiment aliyonayo haina ubavu wa kumpelekesha bali yeye ndio anawapelekesha. Kama angetambua thaman yake na kuitendea kazi angekua mbali sana
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
mi huwa ana niacha hoi hapo tu, akijitahid huwa mwaka mzima anatoa wimbo mmoja. ila mashabiki wake huwa wana mbeba sanaa asipotee.
ni msanii mzur kiaina though
 
Alikiba yupo sahihi, na wanamfuata fuata wengi wanataka wanufaike kupitia yeye na sasa yeye hataki. Bongo kuna ujanja ujanja sana na ukiendekeza hupati chochote mfano halisi angalia saida karoli alivyotumika alafu akatemwa kama big G. Msanii anakuwa na lundo na watu wanaomnyonya huyu akidai meneja huyu msimamiz mkuu. Lazma uwe na meneja ambaye hategemei kunufaika sana kwako bali mnufaishane wote. Big kwa kuona mbali.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
atakuwa kaacha kushindana mwaka huu labda.
ila katka vijana wanao penda mashindano ni yeye mmoja wapo
Kweli njia ya muongo ni fupi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli njia ya muongo ni fupi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
ila kawa kimya sana sja jua tatizo n nn kwake.
 
Nimejifunza kuheshimu msimamo wa mtu, hasa kwa masuala yake binafsi. Keep it up Ali Kiba...
 
Kuna watu walikua wanamuulizia AK yuko wapi,ndo huyo hapo sasa keshaibuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…