Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 May 8, 2018 #101 Mamndenyi said: How about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh. Click to expand... Hahaha.kiki mshiki
Mamndenyi said: How about four others. Nimeandika kimsisitizo. Wababa mnatufanyia vitu vibaya. Tuzae then mkaoe wengine fresh. Click to expand... Hahaha.kiki mshiki
logania JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 464 Reaction score 313 May 8, 2018 #102 MERCIFUL said: Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡 Click to expand... Umenena...
MERCIFUL said: Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡 Click to expand... Umenena...
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 May 8, 2018 #103 Auze mofaya atunze mtoto au utajiri wke wa style ya lemutuz bilionea wa maneno
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,149 May 8, 2018 #104 sweetlee said: Sisi wanawake wakati mwingine hatujitambui hatujitambui kabisa. Ngoja niishie hapa kwa leo. Click to expand... Umeongea mpaka nimelia [emoji24]
sweetlee said: Sisi wanawake wakati mwingine hatujitambui hatujitambui kabisa. Ngoja niishie hapa kwa leo. Click to expand... Umeongea mpaka nimelia [emoji24]
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,149 May 8, 2018 #105 Kumbe kiba anao ugonjwa wa mondi wa kuchovya chovya k za masista duuu... Wa tauni. [emoji23]