Ali Kiba ktk kampeni za Raila Odinga. Amuimba Wema Sepetu.

Ali kiba bure kabisa hatoi nyimbo ye mauzo mengi kuliko kazi wananikasirisha Mimi wanaomlinganisha Ali kiba na diamond ni sawa na kulinganisha hammer na bajaji havilingani kabisa.
 
Anatembelea nyota ya Wema Sepetu tu
 
Ali kiba bure kabisa hatoi nyimbo ye mauzo mengi kuliko kazi wananikasirisha Mimi wanaomlinganisha Ali kiba na diamond ni sawa na kulinganisha hammer na bajaji havilingani kabisa.
Ila jamaa anapata mialiko mingi sana! Anatengeneza pesa tu! Nyimbo moja mwaka mzima lakini mialiko kila kukicha,Sijui angekuwa na nyimbo kama 3 au 4 zilizo hit ingekuwaje,maana diamond ametoa nyimbo ili mashabiki wamsikie kuwa yupo,lakini hazina radha na zimebuma.Sio kama ile ya Salome au nitampata ambayo huchoki kuzisikiliza.
 
Sawa ila anaboa mashabiki wake sasa
 
Pambana na hali yako mzee, acha kumuota mwanaume mwenzio kila kukicha
 
Mialiko ya mombasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…