Ali Kiba kubali kushindwa

Ali Kiba kubali kushindwa

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Kiukweli kilichotokea fiesta ni aibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema Diamond hana jipya,hili linaukweli ndani yake?

Kitoronto kimetawala kila kona.Sasa kati ya Kiba na Diamond ni nani hana jipya?

Mdogo wangu Kiba jua muziki ni kama mpira au michezo mingine,leo kuna huyu kesho yule.Kwahiyo wewe hutakuwa wa kwanza kushuka katika mziki.

Nikukumbushe waliokuwepo katika peak na sasa wameshuka mfano Mr.Nice,Tid,mr.Blue,Dudubaya,Richard Matumla,Juma Kaseja,Maneno Osward,Juma Nature,Inspector Haroun na wengine wengi tu.

Wengine walikubali matokeo,wengine walikuwa wabishi kukubali na mwisho walipoteza pesa nyingi kurudisha jina na hawakufanikiwa,walipoteza hata kile ambacho kingewasaidia baadae.

Mimi naamini hata Diamond pia atashuka na wengine watapanda sababu hakuzaliwa na muziki.
 
Mkuu mziki ndo ulivyo na kila mtu ana wakati wake kwa nafasi yake watakuja wengine pia watashuka
 
Binafs huwa sujui huyo jamaa (kiba) huwa anaimba nini? Hivi yeye mwenyewe anajua aina gani ya music anayoifanya?
 
Ali kiba ameishiwa, na kwa sasa hana lolote!! hawezi ukamlinganisha na abdul,

namfananisha kiba ni kama ccm
 
Kiukweli kilichotokea fiesta ni haibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema diamond hana jipya,ili linaukweli ndani yake?kitoronto kimetawala kila kona.sasa ktk ya kiba na diamond ni nani?hana jipya,mdogo wangu kiba jua mziki nikama mpira au michezo mingine,leo kuna huyu kesho yule.kwahiyo wewe hutakuwa wakwanza kushuka katika mziki.Nikukumbushe walikuokuwepo ktk peak na sasa wameshuka Mr Nice,Tid,mr blue,dudubaya,richard matumla,juma kaseja,maneno osward,j nature,inspector haroun na wengine wengi tu.wengine walikubali matokeo,wengine walikuwa wabishi kukubali na mwisho walipoteza pesa nyingi kurudisha jina,na hawakufanikiwa,walipoteza hata kile ambacho,kingewasaidia baadae.mimi na amini hata Diamond pia atashuka na wengine watapanda.sababu hakuzaliwa na mziki.

Akili zako mbovu kama mada yako.
 
Hata ulaya wapo walioshuka wakawa wabishi mfano michael jackson,tyson.tatizo la talent nikwamba ukishuka umeshuka.sababu unapokaa kimya,wenzako wanasonga.tatizo la wamziki au wanatalent wengi wanasahau kujiwekeza na kuamini kuwa ile talent ndio maisha yake,sasa hakishuka inakuwa shida sana.
 
Kiukweli kilichotokea fiesta ni aibu kubwa kwa Kiba,sasa shabiki anasema Diamond hana jipya,hili linaukweli ndani yake?

Kitoronto kimetawala kila kona.Sasa kati ya Kiba na Diamond ni nani hana jipya?

Mdogo wangu Kiba jua muziki ni kama mpira au michezo mingine,leo kuna huyu kesho yule.Kwahiyo wewe hutakuwa wa kwanza kushuka katika mziki.

Nikukumbushe waliokuwepo katika peak na sasa wameshuka mfano Mr.Nice,Tid,mr.Blue,Dudubaya,Richard Matumla,Juma Kaseja,Maneno Osward,Juma Nature,Inspector Haroun na wengine wengi tu.

Wengine walikubali matokeo,wengine walikuwa wabishi kukubali na mwisho walipoteza pesa nyingi kurudisha jina na hawakufanikiwa,walipoteza hata kile ambacho kingewasaidia baadae.

Mimi naamini hata Diamond pia atashuka na wengine watapanda sababu hakuzaliwa na muziki.

Mkuu umenena .
 
samahani nieleweshe kidogo ni aibu kwa kiba au kwa dimond aliezomewa mbele ya swahiba wake davido
 
Back
Top Bottom