Ali Kiba, kubali matokeo kwa mdogo wako Diamond Platnumz

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Mimi sio mpenzi wa miziki ya vijana japo utakuta bar na harusini ila huyu mtoto anapaswa kuogopwa japo kijana mwenzake alikiba ni mtu wakukunja sana kama ulivyo asili ya mkoa wao walipotokea.

Kwa steji aliyofikia huyu kijana tunapaswa kujisifu kwa kupeleka soko la mziki na kuhamsha vijana wengine wafike kama huko.

Alikiba mpigie makofi kwa As-salamu alaykum maana wewe uwapendi wasio na imani yako.
 
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kuulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki, kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Mwenzake

InshaAllah tutamuenzi Imaam Hussein kwa kazi nzuri aliyoifanya katika uislam. Wanaomdhihaki ni wasioujua uislam.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom