Ali Kiba kurekodi video Marekani

ha ha haaaa.! duh.! hizi post za zamani zinanipa raha sio siri. yaani uongo unathibitika kabisa dhahiri kuwa ulikuwa uongo.
 
Mbona povu tena?!

Kwa hiyo hakuwa anaosha vyombo Kwa Studio Kwa bob Junior?!
Kumbe studio ilikuwa ya Bob junior, sasa mbona mnasemaga pimbikiba ndio alitoa kibali diamond arekodiwe ngoma na Bob junior?
 
Kumbe studio ilikuwa ya Bob junior, sasa mbona mnasemaga pimbikiba ndio alitoa kibali diamond arekodiwe ngoma na Bob junior?
We kweli uelewa wako upo chini.

Kwani ukisikia kampuni au ofisi unadhani haiwezi kumilikiwa na mtu zaidi ya mmoja?!

Ali alisema kuwa yeye ndio alitoa go ahead kazi ifanyike ushawahi kusikia Bob Junior akikanusha hiyo kitu?!

Ujiulizi kwanini hajawahi kukanusha?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…