Ali Kiba kuwa Director wa 'Afrika Rockstar 4000'

nenda account ya insta ya rockstar afu soma habari kiufasaha.....kumbuka dictionary ya TUKI itakusaidia
Mpaka sasa sijakuelewa unachokibishia ni nini au unaeleza nini?

So far you are point less. Could it be that the report is incorrect to your diminished understanding?

Come out straight and don't be gayish to ask someone else to do your homework.

Imbecile.
 
Du amekuudhi nini hapa hadi unatumia lugha yenye ukakasi hivyo? Kumbe na wewe Madame ni team Kibakuli!
 
Kachelewa amechezea bahati lake kwa wakati wake ... kibri si dili

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Jamani Director anaendeleaje? Nilisikia kajitoa Rockstar ,je ukurungenzi wa Rockstar nao kajivua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…