Ali Kiba - 'Mimi ni mkubwa kuliko tuzo', Kura yangu kwa Wizkid

Ali Kiba - 'Mimi ni mkubwa kuliko tuzo', Kura yangu kwa Wizkid

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Habari,

Ali Kiba - Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

Ali Kiba aliwahi kuonesha dharau kubwa kwa mashabiki wao kuwa yeye ahitaji Tuzo yoyote ya muziki kwasababu yeye ni mkubwa kuliko tuzo na muziki wake ni mkubwa kuliko hivyo vituzo na ndio maana hata siku moja hajawahi kuhudhuria sherehe za utoaji tuzo. Hili ni tusi kubwa kwa Shardcole Nifah na wengine.

Ali Kiba anasahau kuwa heshima huja unapopata awards mbalimbali. Liverpool na Arsenal bila kuchukua vikombe si chochote mbele ya mashabiki na mpira kwa ujumla.

Nina maana kuwa hata kama Ali Kiba yuko peke yake Tanzania na Afrika Mashariki kamwe siwezi kumpa kura yangu NG'OOO. Hana shukrani kabisa.

Kura zangu zitaenda kwa Wizkid, Yes Wizkid.
Ojuel.png

Screenshot from 2016-09-29 16:15:55.png
 
Nampigia wizkid coz msanii nzuri kuwazidi wote sina tatizo na kiba
 
Huo ni uzushi kama angekuwa alitoa maelezo kama uliyo yatowa wewe basi nafikiri yeye na manager wake wasinge post kuomba kura!
Mkuu unabisha nini sasa, msanii wetu huyu hajielewi kabisa.Na hii yote imesababishwa na mashabiki wake kutaka kumuweka sehemu asiyostahili.
 
Back
Top Bottom