Ali Kiba - 'Mimi ni mkubwa kuliko tuzo', Kura yangu kwa Wizkid

Mkuu kumbe wewe kura yako umeidondosha kwa WIZKID..!
Mimi ni Olamide tu...
Bado Sneh..!

 
Hivi nn umeandika kwan lazma upige acha wapo watakaopiga
 
Simkubali Ali Kiba lakini nimempa kura yangu, utaifa kwanza.
 
Acha kuchochea asipigiwe kura... wizkid kitu gani kaka ..msapot kiba wabongo tujulikane. Abroad.. acha mambo ya team
 
Hana ubavu wa kuchukua hiyo tuzo ndio maana anavunga kama anapotezea hajui kuwa watu tulisha msoma
 
Tusahau yaliyopita...Tuwe wazalendo
 
nampigia sababu ni mtanzania na si kwa sababu anajua sana kumzidi wizkid, maana hamfikii hata robo. ivi si tunaruhusiwa kupiga mara nyingi tuwezavyo???
 
Uko sahihi mkuu kwa sababu tunampigia the Best act sio issue ya uzalendo wakati ni wazi wizkid anamkimbiza kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…