Mimi hua situmii YouTube screenshot na utupie humu ili uwe na evidencehabari wadau..
mimi mshabiki wa sanaa
nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m... na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m..
management ya king wanakosea wapi?
maana walishinda redioni siku nzima.. na tv... huku wenzao wametengeneza drama tu za mawifi na wakwe...
nini tatizo ni management ya king au ubunifu wa madale
Management haitafuti views, ubora wa wimbo ndio utakaokupa views (Sote tunafahamu hili). Vilevile tukumbuke tu kwamba wimbo wa Alikiba uliwahi simamishiwa zile views zake. Japo sijui kama walifanikiwa kuzirudisha au laah.habari wadau..
mimi mshabiki wa sanaa
nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m... na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m..
management ya king wanakosea wapi?
maana walishinda redioni siku nzima.. na tv... huku wenzao wametengeneza drama tu za mawifi na wakwe...
nini tatizo ni management ya king au ubunifu wa madale
anajiiverate mwenyewe acha ale matunda ya kiburi kujiona mfalmeTatizo jamaa ni overrated...
Hii ni kwel this time huu mwimbo ulipotoka WCB hawakufanya Drama yoyoteKiba kakosa mbeleko ya wcb ndio maana views zimepoa plus wimbo hauja bamba.
Diamond aachwe kufananishwa na watu wengine.
Mimi hua situmii YouTube screenshot na utupie humu ili uwe na evidence
Duuh....Nasikia Wanadharau sana...yaani hata kuonekana hawaitajAli kiba viewers wake hawapendi show off ndio maana wamejificha huko youtube