Ali Kiba mvumo wa radi kupitwa views na iyena ya Diamond.. ni aibu kwa management

Kwenye iyena video watu huwa wanaangalia matako tu Yale
Kajifanya kavaa kiislamu huku matako yanatingishika ni kuudhalilisha uislam tu
Kwa nini views wasiwe wengi
 
Kushinda masaa 18 kwenye Redio/TV ni halali ee? Wakati wasanii wengine wazuri tu wanalilia promo hata ya dakika 20 hawaipati
ni halali as long as wamelipana na tv station husika na they are okay.
Usifananishe hilo swala na kuukikisha wimbo kwa mitusi na kudhalilishana kwenye mitandao ya kijamii eti kisa uongelewe.
Kuwaumiz na kuwatoa sadaka wengine kwa kutengeneza skendo za kijinga eti kisa wimbo uangaliwe kwa gharama za kuwatoa machozi wengine
 
Kiba aache kumuiga Diamond, afanye yake tu
 
Basi kasikilize gospel
 
Management haitafuti views, ubora wa wimbo ndio utakaokupa views (Sote tunafahamu hili). Vilevile tukumbuke tu kwamba wimbo wa Alikiba uliwahi simamishiwa zile views zake. Japo sijui kama walifanikiwa kuzirudisha au laah.
Mnapima vipi ubora wa wimbo wenu kama hauna millage za kueleweka?
 
Na ile SIKOMI ya juzi tu hapa lakini ina views 18M huku ikiwa imeburuza nyimbo zote za Ali Kiba... je, hizo 18M Views zimetokana na kudhalilishwa nani?
 
Na ile SIKOMI ya juzi tu hapa lakini ina views 18M huku ikiwa imeburuza nyimbo zote za Ali Kiba... je, hizo 18M Views zimetokana na kudhalilishwa nani?
Mkuu akikujibu ni tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…