Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kwani wewe umefollow back wangapi?Hivi sasa hivi ukimfollow Ally Kiba anakufollow back??maana kuna kipindi nilisikia hafollow watu back
Album is on the way mkuu. Usijali, tuko hapa kuwarekebisha ngeli yenu ili mjifunze vizuri.Msanii mkongwe Ali Kiba ametangaza rasmi kuja na album yake hivi karibuni. Alikiba kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba mashabiki wake ku subscribe kwenye akaunti yake ya YouTube ya Alikiba kwani album yake ipo mbioni kutoka.
What is your take, kwa trend ya Alikiba hivi karibuni unategemea album ya aina gani?
Nashukuru kwa kunirekebishaAlbum is on the way mkuu. Usijali, tuko hapa kuwarekebisha ngeli yenu ili mjifunze vizuri.
king kiba
Hapana ni kingi kibaking kiba
roho mbaya itakuua maana alikiba n mtu simple ana mambo ya show unayoyatakaww King kiba n legend n king pia wa bongoHapana ni kingi kiba
roho mbaya itakuua maana alikiba n mtu simple ana mambo ya show unayoyatakaww King kiba n legend n king pia wa bongo