Ali Kiba na Abby Daddy waingia katika mgogoro mzito, WCB wahusishwa

Kulikuwa hakuna namna! Bob junior alikuwa tayari kuhatarisha urafiki wake na kiba lakini sio kukiacha kichwa kilichokuwa na kila dalili ya kuwa 'A list' artist.. Kiba ikambidi tu awe mpole l..
Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kusubiri idhini ya Ali Kiba, acha hizo zako wewe!

Unataka kusema Bob Junior alirekodi Kamwambie bila idhini ya Ali Kiba?[emoji15]
 
Hujui unachokiongea we we soma vizuri uelewe ndo uchangie
 
Very well said. I salute you Sir.

Haya mambo yataisha lini bongo
Yataisha kipindi ambacho Producers watapoamka na kuwa na ushirikiano wao kwa pamoja, maana naskia wanalipwa hela kidogo sana wakitengeneza nyimbo hata Master J alilalamika sana sema hawana ushirikiano kabisa
 
Mkuu IPO hivi abydad na management ya kiba walishakubaliana siku ya kutoa wimbo ila cha ajabu jamaa kabadilika ghafla ndo jamaa wakaunganisha dot huenda wcb wanahusika kwa ila sio directly
 
Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kusubiri idhini ya Ali Kiba, acha hizo zako wewe!

Unataka kusema Bob Junior alirekodi Kamwambie bila idhini ya Ali Kiba?[emoji15]
Tatizo mnapenda sana historia [emoji1]

Anyways, kiba amemsaidia vitu vingi simba kabla hajatoka and we are thankful for that!!
 
Mkuu IPO hivi abydad na management ya kiba walishakubaliana siku ya kutoa wimbo ila cha ajabu jamaa kabadilika ghafla ndo jamaa wakaunganisha dot huenda wcb wanahusika kwa ila sio directly
Aje ina remix ngapi mkuu...
Kuna ile inaanza yule mnaija ndo anaimba then ndo anafuata kiba ama sio hiyo?
 
Najua diamond hawezi Ku record kwa abydad ndo maana alikataa kushiriki kwenye wimbo wa mkungu wa ndizi ndo wakaitoa hivyo ndo maana hapo nimesema not confirmed
 
Tunampa ofa ya kurekodi ngoma moja na Laizer, tunajua anataka ila anashindwa kusema.. Mpeni taarifa # aje wasafi studios wala asiogope [emoji23] [emoji23]
Kwa sababu Kiba ni 'mwana', ye kama vipi 'akajiandae' alaf 'aje' WCB Kwa Laizer afanye ngoma, Simba 'atagharamia' na bifu aliweke tu 'far away' kiroho safi ![emoji12] [emoji124][emoji124]
 
Hata mm sielewi aje ina remx ngapi maana kuna ile alimshirikisha MI au haikuwa official
 
Kwa sababu Kiba ni 'mwana', ye kama vipi 'akajiandae' alaf 'aje' WCB Kwa Laizer afanye ngoma, Simba 'atagharamia' na bifu aliweke tu 'far away' kiroho safi ![emoji12] [emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimependa ubunifu wako.
 
Huu ndio muda maproducer kukaza, wasanii wanapiga ela ndefu kishenzi, sijajua leizer wa wasafi pamoja na kutengeneza hit nyingi mwaka huu sijui zinamnufaishaje
 
Hivi nyie Team Kibakuli Hivi Hamuwezi kutoa Post zenu bila ya kuwataja WCB na diamond???mbona wenzenu WCB wapo kimya wanapiga mishe zao nyie mpo bussy kuwasema 😀
 
Naanza kuamini alikiba sio lolote bila mond. Hata habari zake hazipati wachangiaji bila kuweka jina la mond au wcb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…