Ali Kiba na Abby Daddy waingia katika mgogoro mzito, WCB wahusishwa

unajua watu kama nyie ni wakuonea HURUMA. si useme kabisa Diamond amemnunua abdady?
 
Mashabiki wa hizi team mbili ndo tatizo kubwa sana yaani hata thread mnaandika kishabiki shabiki
 
Mkuu IPO hivi abydad na management ya kiba walishakubaliana siku ya kutoa wimbo ila cha ajabu jamaa kabadilika ghafla ndo jamaa wakaunganisha dot huenda wcb wanahusika kwa ila sio directly
Kwa hiyo kwakuwa kabadilika basi kanunuliwa?
 
Sizani kama izo story ni za kweli kuwa kiba ndo alimruhusu domo kufanya kazi na sharobaro maana ile studio ni ya bobjunior labda ingekuwa kgt sawa

Na kuna siku domo kwny kipindi cha the base cha ITV alikanusha izo habari
Kama unajua vizuri Sharobaro ilipoanzia na waasisi wa Sharobaro usingesema namna hii.

Ali studio ya G.Record haimuhusu kabisa zaidi ya kuwa alikuwa Label tu ila Sharobaro record inamuhusu vizuri tu ndio.

Nenda kasikilize ngoma zote za mwanzo za Ali alikuwa lazima ataje neno Sharobaro enzi hizo bob Junior hana jina lolote hapa mjini.

na Kama Ali angekuwa anasema uongo basi Bob Junior angekuwa kishamuumbua siku nyingi.
 
Washaanza kununua na Ma-producer kabisa ili wasikike wao tu.
 
Kuna kiazi mviringo kingine kiliwahi kuripoti Diamond kamununua Ne-yo.
 
Domo mwenyewe ndo alikanusha kuwa hizo story hazina ukweli wwt....sema kiba alitaka kujionyesha kuwa kwny mafanikio ya mond na yy kuna mchango wake kitu ambacho domo hakijui na hakitambui anamjua Bob Junior tu kama ndo godfathers wake
 
Tunampa ofa ya kurekodi ngoma moja na Laizer, tunajua anataka ila anashindwa kusema.. Mpeni taarifa # aje wasafi studios wala asiogope [emoji23] [emoji23]
Muhahahahahaaaaa
 
Abbydady n kiaz ktu kama via,wenfne kiba atabak kuwa kiba bongo nzimaaa

Povu.likiwazd mkinyonge
 
Abbydady n kiaz ktu kama via,wenfne kiba atabak kuwa kiba bongo nzimaaa

Povu.likiwazd mkinyonge
Unakielewa ulichoandika maana navoona kama hukupita darasa la kwanza irabu na sirabi kama zimekupita kushoto iv
 
ungesikiliza aje usinge subutu kuandika pumba hapa
 
Iko siku huyu Diamond atamnunua mpaka Joketi, Kiba lazima awe makini sana anapolala nae usiku.
 
Domo mwenyewe ndo alikanusha kuwa hizo story hazina ukweli wwt....sema kiba alitaka kujionyesha kuwa kwny mafanikio ya mond na yy kuna mchango wake kitu ambacho domo hakijui na hakitambui anamjua Bob Junior tu kama ndo godfathers wake
Yeye Dimond anamjua Bob Junior na Bob Junior anamjua Ali Kiba.

hapo wa kukanusha alikuwa ni bob Junior na sio Dimond....ebu shirikisha akili yako vizuri ujiulizi kwanini Bob Junior ajakanusha?!
 
Yeye Dimond anamjua Bob Junior na Bob Junior anamjua Ali Kiba.

hapo wa kukanusha alikuwa ni bob Junior na sio Dimond....ebu shirikisha akili yako vizuri ujiulizi kwanini Bob Junior ajakanusha?!

Kwahiyo sharobaro record ni studio ya Kiba?
 
Yeye Dimond anamjua Bob Junior na Bob Junior anamjua Ali Kiba.

hapo wa kukanusha alikuwa ni bob Junior na sio Dimond....ebu shirikisha akili yako vizuri ujiulizi kwanini Bob Junior ajakanusha?!
Kwa akili yako ndogo unafikiri Bob jonior atakanusha amuaibishe swahiba wake some time uwe unatumia reasoning cyo kila kitu unatumia nguvu kama makirikiri.....muhusika mkuu ni mond lazima angekuwa analijua hilo swala

Unataka kunambia bob junior na Ali wlielewana wao kwa wao bila kumshirikisha mond
 
Kwahiyo sharobaro record ni studio ya Kiba?
Shangaa...

Mond mwenyewe alisema ameanza kumjua Ali kabla hajaingia kwny mziki kupitia kwa dada ake queen darling so kama angeamua kupitia urafiki wa dada ake na kiba angetokea kwa kgt coz ndo alikuwa anaproduce ngoma za kiba na queen darling kipindi icho...so swali la kujiuliza kwa nini achomokee sharobalo rec kuliko G. Record
ukiambiwa kitu changanya na akili yako ndo upate jibu
 
hahahaa nakuona mfia kiba
 
Sasa Dimond angeambiwa ili iweje?

Hayo yalikuwa mambo ya kiutawala so hayakumuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…