Ali Kiba na Diamond chukueni mfano kwa Wizkid na Tekno

Ali Kiba na Diamond chukueni mfano kwa Wizkid na Tekno

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
Kuna watu wanapenda bifu la Alikiba na Diamond liendelee kuwepo wakidai lina manufaa kiuchumi huu ni ujinga hakuna chuki zenye faida my brothers chukua mfano wa mastar wenzenu Tekno & Wizzy Kid malizeni tofauti zenu.

Mama.jpg
 
Mkuu hakuna bifu kati ya Diamond na alikiba bali mashabiki ndo hutengeneza bifu
 
Acha uongo Tekni miles na Wizkid hawajawahi kuwa na bifu hata chembe.... Nigeria bifu ni wizkid na davido... Don Jazzy na Olamide rudi chimbo ukaje na data
 
Yaani Wizkid mwanamziki wa kwanza kutoka Africa kujaza Royal Albert Hall London uwaweke level moja na watu wengine???
 
Diamond,Kiba na Tekno ni makinda ambayo wana mengi ya kujifunza usifananishe Starboy na hao watu uyo ni sawa na babu yao kwenye kazi.
 
Mkuu Tekno ni bwanamdogo kwa Wiz, hivyo Wiz hawezi kuwa na beef naye. Davido ndo wako the same level na ndio maana hawapatani
 
Back
Top Bottom