Ali Kiba na Diamond chukueni mfano kwa Wizkid na Tekno

Aslay yuko na dogo janja kwa sababu young killer anaimba mbele young dee na uwepo wa samata kwa msuva matonya atasaidia sana kubishana na vitu visivyokuwa na faida. Mia 900 itapendeza zaidi
 
Tekno hajawahi kuwa na bifu na Wizkid...Labda Davido na Wizkid..
Acha uongo Tekni miles na Wizkid hawajawahi kuwa na bifu hata chembe.... Nigeria bifu ni wizkid na davido... Don Jazzy na Olamide rudi chimbo ukaje na data
Waliwahi kuwa na vita fupi sana ya maneno!!

Kama inavyofahamika, bifu ni kati ya Davido na Wiz Kid. Davido alivyotoa Summer Body ft Olamide, kulikuwa na mistari ya kum-diss Wiz Kid ambae hapo kabla alim-diss Davido kwamba ni local.

Baada ya diss ya Davido, WizKid nae akajibu! Baada ya Wiz kujibu diss ya Davido; hapo ndipo akaingia Tekno na moja ya tweet ya Tekno akimlenga Wiz Kid alisema ni suala la muda tu itafahamika ni nani hasa yupo international!

Ujumbe wa Tekno ulimchoma Wiz na ndipo akamjia juu na kumfananisha Tekno sawa na Motorola na kwahiyo inapotokea iPhone & Samsung zinagombana, yeye Motorola anatakiwa kufunga mdomo!
 
Sasa hiyo sio beef, ndio maana tukasema Wizkid hawezi kuwa na beef na Tekno sababu ni mdogowake kwenye muziki
 
Sasa hiyo sio beef, ndio maana tukasema Wizkid hawezi kuwa na beef na Tekno sababu ni mdogowake kwenye muziki
Nimesema "Vita vya Maneno!" Na nikasema wazi bifu ni kati ya Davido na WizKid

Nimetumia neno "vita vya maneno" na kufafanunua kwa sababu maelezo ya watu yanaonesha as if hapajawahi kutokea msuguano wowote kati ya Tekno na WizKid hapo kabla! Na bila shaka mleta mada ameita beef kwa sababu media nyingi za Naija zilitaka kukuza ule msuguano na kuita "beef kati ya Wiz na Tekno"!!!

But all in all, Tekno kuwa mdogo kimuziki compared to Wiz bado hakuwezi kufanya wasiwe na beef manake ninavyofahamu mimi, beef ni kutoelewana kwa watu wawili au hata makundi! Pekee kinachoweza kuzuia beef kati ya wawili ni mmoja wapo kuamua kujifanya kuwa mjinga!
 
Wizkid ni mlima,Tekno ni kichuguu.Nadhani Tekno analazimisha beef.

Diamond ni mlima,Alikiba ni kichuguu.Nadhani Alikiba analazimisha beef.
naskia kichuguu kimewakimbiza afrimma na aje rmx hahahahahaaa mkamuone pschologist
 
Diamond ni International Super Star wewe...

Hawezi kuwa na bifu na watoto hao. Wanajipendekeza wenyewe ili walau waendelee 'savaivu'..
Huu ndio ujinga wenyewe. Badala ya kushauri bifu liishe, unaji boost kwa mambo ya kijinga. Hebu kua basi.
 
Wizkid ni mlima,Tekno ni kichuguu.Nadhani Tekno analazimisha beef.

Diamond ni mlima,Alikiba ni kichuguu.Nadhani Alikiba analazimisha beef.
Sasa hapa umetoa ushauri au umekoleza bifu?
Unalazimisha mtoto atembee siku ya kwanza sio?
 
Kiba akimaliza bifu na daimond, kiba atapotea. We huoni hata mie nikianza bifu na dai sasa hivi, lazima nitavuma.
 
Tatizo la Wapenda taarabu kuvamia miziki ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…