Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea uhusiano wao kwa sasa na hawezi kuongelea kwa sasa na uko insta amewarushia kijembe mashabiki wa kiba na kuwauliza kwan kiba sio mwanaume baada ya team kiba kupanick na mapovu kuwatoka.

Story hii inakuja miezi kadha baada ya Gigy kumlalamikia Jokate kumuibia Ali kiba na ikumbukwe ivi sasa Jokate hawapo kwny terms nzuri na King Kiba

 
GIGY lipo sexy sana kuliko Jokate...Jokate ni basi tu kakutana na wahuni wa mjini ila alipaswa awe amewekwa ndani saivi kama kylin..ila ndio basi tenaa!!!! Goo Giggy mtetemoooo
 
hata kama kingkiba angekuwa anatumia cha Arusha hawezi kufanya hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…