Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

Demu kama huyo japo anasifa mbaya ila akiingia kwenye kumi nane lazima aliwe ikimuacha hata malaika watakushangaa
 
Jokate na wenzake ni Janga la Maadili Tanzania, Ni aibu, aibu, aibu, hawana tofauti n ahao madada poa wanaosakwa na Sro huko mjini, except kwa exposure ya kutoka familia kubwa
hawa wasichama wa dar wa bongo fleva na bongo movie hawana malengo kabisa, nakumbuka wakati Jokate akiwa Udsm aliwahi kuni approach akiniomba niwe mentor wake katika kuingia sokoni kwenye career, hakuwa amesoma kitu kigumu na hivyo asingeshinddwa kupata upenyo kwenye soko given her beauty na exposure nafikiri amewahi kukaa nje, ama anatoka kwenye familia nzuri

Missed opportunity.
Jokate alishakua tofauti kwa kuwa ni scholar tofauti na mabinti wengi mishauo kwenye tasnia hii. kuchaguliwa kwake kucheza sinema iliyogarimu dola 2m za wamarekani ya Siri ya Mtungi was a golden opportunity ya yeye ku excel kule kwa wakina John Ribber, badala yake akapeleka umalaya na kushindwa kuwa win wale wamarekani, sasa karudi tena huku kubanana na zile bongo movie za shilingi milioni 10

si kweli kwamba mapenzi ni upofu
sikubaliani na dhana hii potofu, mapenzi ni chagua, binadamu si dhaifu kama nyama labda atake, hawa mabinti wanatia aibu sana, hawana madaraja, huyu si ndio tuliambiwa anatoka na yule mtanzania wa basketball anayeishi marekani? allishindwa kumshika leo yuko na game boys wa manzese na tandika, atawaweza? kila kijana katembea nae, kama ni kweli, yaani nao wako kama santuri za muziki, leo Diamond, kesho Ali Kiba, kesho kutwa so and so muda umekwisha Jokate. huna tofauti na Wema sasa ni nani atakayekuokota huko shimoni? hata hao wakina Diamond mnaowaona hawana shule, pia wana class zao, wakishatoka huko kwenu tayari nyie ni daraja la chini, wanaenda juu,

waweza ku ji re brand
Hakuna mahali tuliposikia mtu kafa kwa kutokufanywa kwa muda mrefu, hawa watoto wafunge miguu kwa muda wajipange, ili thamani yao na utu wao viweze ku improve. Jokate ulianza na Kidoti vindala, hujatulia, ukaenda sijui wapi, hujatulia, kwa nini hamjifunzi kwa Lady Jay dee anapita kwenye mengi lakini amenng'ang'ania jambo moja kubwa, heshima na kujitunza mwili wake.

Kuna taarifa kuwa katika utafiti usio rasmi uliowahusisha vijana wenye vision wa kitanzania juu ya nanai wanaowaona kuwa ni role models wao na kwa vigezo gani. Wasichana pekee waliotokeza kwenye watu hao ni Flavian Matata, na Faraja kota kwa kigezo kuwa wanajiheshimu na wanafanyakazi zinazoheshimika katika jamii. Hizi takataka nyingine zote za wakina Jokate, Wema nk hazimo humo.
 
Once jokate atakapopigwa chini rasmi na huyo king kibakuli nafikiri akili ndo itamkaa sawa mana amekuwa hana tofauti sasa na hao kina anti ezekiel, alipoanza vijibusiness vyake mi nkajua atasimama kipekeake atafute mtu wa kutulia nae na kuachana na hao watoto wa uswahilini wanaoshindwa kuiona thamani yake
 
Giggy money "the kick queen" nothing more.
 
Alikiba kuwa na Mahusiano na Gigy ni sawa na kuwa na uhusiano na kichaa!
 
Mkuu I salute! Hii ndio haswa inawafanya hawa kina dada washindwe kujitofautisha na changudoa wa Sinza Mori. Wamepata exposure lakini wamekosa creativity, wamekuwa punda wa mapenzi. Siui kama watafika mbali, hili ni janga na ni bomu linalosubiri wakati wa kupasuka.
Hivi msichachana kama Gigy Money au Jokate wana mapungufu gani mpaka wawe punda wa mapenzi? Ni kukosa fikra au ushamba? Wanategemea mikwanja kutoka kwa kina Wanabongo Fleva matokeo yake hivi sasa kuna wengine wameshaanza kubezwa kwamba wana nuksi, ukitembea nao unapata mikosi, dahhh mpaka inasikitisha!
 
Kwani hata huko USA ambako wanakopy hizo tabia celebrities wametulia katika mahusiano? Mi naona ndo maisha ya wasanii wanaoiga maisha ya western
 
Kwani huko wanakokopy hizo tabia haswa USA wasanii aka celebrities tabia zao za mahusiano ni nzuri? Mi naona ndiyo staili ya wasanii wanaoiga mambo ya western haijalishi kasoma hadi level gani.
Suala lingine ukishakuwa msanii ni ngumu kuolewa haswa na watu ambao sio wasanii ingawa wachache sana hufanikiwa kuolewa
 
Yani sipendi matako ndembe dembe kama ya huyu demu yanakuwaga kama nyama ya kitimoto vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…