Ali Kiba na Giggy Money mahaba motomoto

Kwa umri wa Kiba na hali ya kuwa na watoto watatu na wanawake watatu tofauti, ni kengele tosha kwa mwanamke anaejitambua
 
Heee..
Hata Mimi Niko MTAA WA MAPELELE,KATA YA ILEMI,WILAYA YA MBEYA MJINI..ila ukinipa Gigy Money Hata Bure Sipigi..
 

Yaani kwa msichana wa kitanzania huyu ni toilet paper, sijui kalaaniwa na nani, pole kwa wazazi wake, sijui anapitaje barabarani wakati yuko uchi, hawa vijana wote wakikuona ni kama skeleton kwao wanaona uchi wako, utupu wako, hakuna cha kidoti wala nini, kukupatikia kila kiingiacho mjini, wakina Hasheem yaani kote huko hukuweza kucheza karata zako? Unapokuta bwana wako hakuheshimu hata kidogo na anatoka kwenda kuchukua watu unaowaona ni inferior kwako, basi wewe ndio shida kubwa. Jamani mpaka Hashim Lundenga? hii kali, sasa kabaki nani? yeeee hata na mdomo wangu sasa nimechoka. watu kama hawa walivyonahabati hata ukimwi hauwapati
 

Mzee Machache pia alipita lile lilikuwa zali angetulia saa hizi angekuwa lady flani.
 
Hiyo etc etc niliyoiandika hapo ina maana yake. Unadhan ni hao tu?
 
Mzee Machache pia alipita lile lilikuwa zali angetulia saa hizi angekuwa lady flani.
Hivi yule mzee kagonga pale nae???? pale nilipoweka etc etc niliamua kukaa kimya. Ila Wengi tu wamekanyaga pale. Mmesahau ERick Shigongo? Kapiga pale sana tu. Politicians ndani pia.
 
Ali kiba ataongeza watoto wengine 20
Kwa speed hii hao 5 wachache
 
Ali kiba ataongeza watoto wengine 20
Kwa speed hii hao 5 wachache
we need speed governors to save our young boys

nashauri kuwe na sheria ya tabia nzuri ili hawa watu wasiokuwa na makufuli wapelekwe mahakamani, Jokate ameshajizolea ushindi wa kufikishwa kwenye mahakama hiyo. Kwa kweli hata mimi natoa wito kwa vijana walio serious, stay away from her, lazima kwa speed hii hata akili ya kufikiri imepungua, kama ni computer storage imejaa na sasa ni butu na iko slow,

You can make money through studies if you are smart

huyu ana qualify kuingia kwenye interviewees we study yangu ya commercial sex workers in Tanzania. Study yangu ina focus kwenye wadada poa wa vitua vya barabara kuu na partners wao, na matumizi ya condoms, can you speculate kama machangu wasomi wanatumia kondom kuliko hawa wangu wa barabrani? shame upon huyu dada na hii

You are not good for media business

tabia imemharibia hata biashara ya matangazo, ndio maana kabaki na TVI tu, i hope bado yuko pale hata baada ya Master Tyson kufariki. Shame Shame Shame Jokate, tafuta uso wa mungu akutoe huko hilo ni pepo la ngono its not normal, yaana wewe na Gigy mnakula sahani moja? sasa elimu yako na utoto wa mjini vimekusaidia nini? tatizo ni nini huna income? huna kazi? acha uchekibob tafuta kazi ya kuajiriwa ila huko nako usiwapelekee pepo ukawasambaratisha
 
Duuuh kweli ukiwa na pesa mixer umaarufu,ng'waru znajileta zenyewe yaan mpka bush men leo hii anaitwa handsom boy..
 
kuoa mwanamke mwenye list ndefu ya kuvuliwa chupi hlf ni maarufu mji mzima wanajua yataka moyo aisee!!...Yani siku unakutana na watu wako unamtambulisha huyu ndo mke wangu mtarajiwa kumbe kati ya wanaume 10 hapo 8 wanaujua uchi unaoenda kuumiliki ukoje! shameπŸ™‚πŸ™„πŸ™„
 
Hapo sasa ndo inakuaga how come kinoma yani.
Unashindwa hata kujivunia mkeo.
Afu siku uko nae sehemu mnakutana na mwanaume ambaye wewe unajua kabisa huyu kapiga sana hii papuchi yani unakosa raha na kujiamini kbs. Hapo ni mlimani city na huyo mmemkuta pale ni mwana fa. Then unamwambia wife twenzetu samaki samaki masaki mnafika pale kiba huyu hapa m asalimiana unaangalia unasema Dah huyu nae hii papuchi ya wife kaipindua sana. Anyway isiwe tabu. Mnapata soda unamwambie twende kndoni one time huko mnaingia dukani kwa chidi mapenzi mnakuta diamond ananunua raba mnapeana hi nae anamtania wife oya vipi wewe upo? Nae anajibu nipo huyu hapa mme Wangu. Dah huyu nae hii papuchi ya wife kaipiga sana yani. Unakua mnyonge wa kujiamini. Mnaondoka kurudi home mbezi mnafika makumbusho mnapisha na vogue last hasheem thabiti anaelekea zake town vogue plate number imeandikwa hasheeem unaona wife kakaa kimya kwa muda. Mnafika home baada ya chakula mnaangalia ITV tariff ya habari mara mnamuona mzee machache kwenye news. Inapita. Baada muda ikifikia habari za michezo mnamuona Eric shigongo anatoa misaada ya mipira.
Hapo ndo Maana nasema kumuoa mtu kama huyu ni inataka moyo was chuma na kujitoa fahamu flan.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ utamuacha bila kupenda.But anahitaj mtu wa kuendana nae..Yani womanizer maarufu mjini ndo atamfaa!watatulia pamoja
 
mtoa habari, habari imetufikia lakini si kama ulivyotaka.
ALIKIBA NA GIGGY MAHABA MOTOMOTO, bila ya uthibitisho wa wahusika hata wa picha tu, huo ni unafiki na hautakufikisha popote
 
Naweza sema iyi ndo comment yng ya mwaka.....nimecheka sana
 
Kwa level za kiba huyo size yake.
Nakubaliana kabisa Na assessment Yako sawa Na Diamond Na Ali kuba kwenda kutoa Mchango Kwa Ghalib wa GSM ashakum si Matusi eti wakatoa kwenye Twitter ya follow GSM foundation, nikacheka sana Na kukumbuka Kuwa kweli Ndege wafananao huruka pamoja darasa la 4b wamejiona nao am milionea Kwa Kuwa wana cash wamesahau Kuwa mali bila daftari... Japo sijui Kama walishafika level ya methali. I hate hypocrisy lack of confidence hivi hao kina diamond wanaamini huyo myemeni Ndio anayeweza kuwafikia vulnerable Tanzanians kuliko CBOs Za kule Kwao Tandale? Ushamba wa Hali ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…