Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Usijali mine,nshamaliza thnx kwa ushauri wako...huyu mruka stage nshamkamilishia stage zake..
pole km nimekukwazaa....
Haya sasa.
Tupumzike tukusanye nguvu za kupiga kura ama neneee
Peace and love
Nawapenda mawifi zangu woteee!
Leta kingine.
we nae kwani kiba anakujuaa??mfyuuuu
Good better best. :thumbup::thumbup::thumbup:kkukaa kimya ni jibu zuri sana kwa ......... Yoyote.
Unajuane kama mimi sio....
Naomba niishie hapaaaa.
Ila matusi sio issue hususan kwa mabeste wangu kama hawa.
hhhhhhaaaa ila Leo umenichekeshaa sina hamu na wewe
uskonde mine...pamoko sana...kiba kiba kibaaaaa
leo alikua high table na nyalandu,jackline mengin,alhad mussa na wageni wengine wa kimataifa...
natamani kichizi nifikie level zile...
raha sannaaaa....!!
Haa! We chekaaa ila samaki wa bure utatuma tuu
Safi sana mbwa ukimjua jina hakusumbui kamwe.
Na Leo nimemuona Kiba kwenye habari ya itv.
Wao wamezoe hvo kwa mtu wao. Safi sana Kiba
Hahaaaaa but message sent and delivered.
Safi sana mbwa ukimjua jina hakusumbui kamwe.
Na Leo nimemuona Kiba kwenye habari ya itv.
Wao wamezoe hvo kwa mtu wao. Safi sana Kiba
Hahaaaaa but message sent and delivered.
Ha ha ha huyo ndo diamond, baba kijacho, kijana from tandale, eeeh baba turushie tu picha ukiwa unapupuEvelyn Salt njoo uone jibu hili hhhhaaa cc mkosafeza
Ha ha ha huyo ndo diamond, baba kijacho, kijana from tandale, eeeh baba turushie tu picha ukiwa unapupu
yaan mi nawashangaa Kuna watu wanafiki humu,huku mnapoza huku mnachocheaaa aiseee siwaweziiii
wewe SI ulikua unatuliza Moto humu mbona tena unataka kuyaamsha,muachege unafikii jamanii
Sikuweziii aisee timu hizi tutafika Tu hivyo hivyo
Ha ha ha huyo ndo diamond, baba kijacho, kijana from tandale, eeeh baba turushie tu picha ukiwa unapupu