Nice to him....!
Daimond atajinyonga wallah.Ndo wanaiongelea XXL mida hii
mkaka anajielewa sana hadi raha ujue...!!kapendeza na zile dimples za kizushi sasa...
yani yuko na watu wenye heshma zao..!!
MUNGU amsaidie kwa hili...!
Positive souls will see that as a figurative language;
KING OF THE JUNGLE:
King = The Leader
Jungle = Music Industry
Figure it out yourself!
Mind you: Afande Sele is also the King (Lion), Isha Mashauzi is the Queen (Lioness). ACCORDING TO THEMSELVES!
I'm Out!
Ha ha ha ila mbali na kupenda mziki wake huyu kijana napendaga na uswahili wakeyani weweee...ukija lazima nchekee....!!
halafu wewee...niko usukumani ujuee..nataka nije kwako..nikupige picha then nikufungulie thread hapa...!#
Anajielewa balaaaa anajua anachokifanya haendeshwi na matukio wala kiki mbuzi vile.
Dimples za kizushi zimempendeza plus u handsome wa nguvu heeeeiya ni shiiida tupu tu ashukuriwe Mwenyezi kwa kumuumba.
Tena watu alio nao ni waheshima zao hahaaaa Beckhamu Jack Chain. Wengine wataishia kuwaona mtandaoni.
Ha ha ha ila mbali na kupenda mziki wake huyu kijana napendaga na uswahili wake
"mtakuny* boga" "ndimu mmezizoea chukueni makopo mtapike" "bahari imechafuka nipeni mfuko nitapike" "ukimwaga mboga namwaga ugali natoboa sufuria nazima na moto usipike kabisa" ha ha ha diamond ananchekeshaga huu uswahili kwakweli lol leo anasema atapost picha anapupu mweh
uwiiii unianzishie uzii tena nikikuona nakukimbiaaa haswaaaaaaaaaa
Hhhhhaaaaa Daimond anajua kujibu aiseee SI kwa jibu hili
Basi mkubali kuacha kumdisi Diamond na sie fans wake tutaacha kujibu, mtu ukiwa na maneno basi inabidi uwe tayari kupokea linalokuja. Maana jina la aliii haliji bila kutaka kumtaja Diamond ka vile walizaliwa tumbo moja na Diamond ni level ingine si mtaje waimbaji wengine mkione pia, Diamond yupo juu mtake msitake alyii hamfikiiii na tunaona wote ni hivyo.
Ni kwamba sie fans wa Diamond hatutaki kama nyie msivyotaka kwa Kiba.
Kesho mkimsema mwingine basi tunaweza ingia pia, maana hamna kitu cha msingi, unataka peace wakati kapicha kako ni Diamond halafu unadisi basi mkidisi nasi tutadisi hadi kieleweke kwa kusinzia.
Ha ha ha ila mbali na kupenda mziki wake huyu kijana napendaga na uswahili wake
"mtakuny* boga" "ndimu mmezizoea chukueni makopo mtapike" "bahari imechafuka nipeni mfuko nitapike" "ukimwaga mboga namwaga ugali natoboa sufuria nazima na moto usipike kabisa" ha ha ha diamond ananchekeshaga huu uswahili kwakweli lol leo anasema atapost picha anapupu mweh
Mami stop that don't waste ua time arguing........... Just ignore it won't cost you anything ma dia.
I do respect you as a teacher and enocuorage you to work hard I respect that professional so much only ignorance can't understand and appreciate it.
Le madame le ticha with all respect I begooooooooooooooo
Pleaseeee stop.
hahaahaaaa....hv unajua najua unapoishi mwenyewe ushasemaga humu..au nkukumbushe..?
Sasa hapa si anaambia nyinyi misukule yake? Hivi mtu anayejiheshimu na si mswahili anaweza andika upumbavu huu? Na nyinyi mnashabikia ujinga kama huu poleni, mimi siku Kiba andiike shombo na uswahili kama huu atakoma na dunia ataiona chungu.
Najuwa utakuwa mgumu kuamini nenda jukwaa la siasa siku hizi uone kama Josephine Mushumbushi kama anasogeza puwa yake, maana alikuwa na kidomodomo akidhani heshima tuliyokuwa tunampa Dr Slaa na yeye humu anaweza kuwajibu watu apendavyo tumemnyoosha na ameenyoka na amekata mguu au anaingia kwa fekelo id.
Kwa style hii ya kusifia kila upuuzi mnampoteza huyo dogo lets cal spade a spade hata mimi nina mapungufu yangu huwa nakosea hata maandishi yangu siyo yote yako sawa. Kama mnahisi Diamond ana sifa za Kimungu hakosei hayaaaa tupo hapa tumetandika mkeka kabisa tutasubili saaana lakini itaeleweka tu.
Nimesahau hadi kutoa pongezi mweh nmefikia tu kwenye umbea...ananichekeshaga balaaa siachi kumpenda mtu huyuuu atakua juu wengine watafuataa
Hahaaaa wonders shall never end indeed. Umejuaje naficha makucha hata nikiyaonyesha ni non of ua bussiness after all I didn't quote you anyway. Maybe u want something else to me. Even you to stop pointing fingers to others and being judgemental to others. Its a free country and public forum and I can comment anything I want. What the hell do you think ua pointing me. Better mind ua business and am not in good mood waisting my energy arguing with you. Excuse me.
Kuna nini kimetokea.? Naona kama pamechafuka.
Nimesahau hadi kutoa pongezi mweh nmefikia tu kwenye umbea...
hongera sana alikiba