Ali Kiba ndo kajimaliza kimuziki...

Lazima wafundishwe. Wasipofundishwa watapotea.

Wakifundishwa halafu wasifuate mafundisho, hilo ni tatizo lao.

Hagiography is not a strategy to success.
Hii ID inafanana sana na ID inajiita Alwatan ..
sina nia mbaya mkuu ila style ya uandishi, majigambo , uwasilishaji wa mada na kila kitu mnafanana .
 
Hii ID inafanana sana na ID inajiita Alwatan ..
sina nia mbaya mkuu ila style ya uandishi, majigambo , uwasilishaji wa mada na kila kitu mnafanana .
Al-Watan mdogo wangu, tumenyonya ziwa moja na kunywa maji ya bomba moja.

Hivyo, si ajabu tukifanana wajihi, hulka mpaka itifaki, fasihi na tafsida zetu.

Shukurani kwa kututambua undugu wetu, ni jambo la kheri kutambulikana na ahali zako.
 
Diamond majuzi kaja New York City.

Kapiga show.

Hata watu 50 hakupata.

Na kati ya hao 30 walikuja kuwaangalia ma star wa Caribbean. Wabongo walikuwa kama 20 tu.

Nikasema mi nilijua haya yatakuwa hivi kabla hayajatokea.
kwahiyo hao Jamaa wa carrebian walikua na mashabiki wangapi?
 
kwahiyo hao Jamaa wa carrebian walikua na mashabiki wangapi?
Jumla kulikuwa na watu kama 50 hivi,Hao wa Caribbean walikuwa kama watu 30 hivi na Diamond alikuwa na kama watu 20 hivi.

Big flop.
 
Diamond majuzi kaja New York City.

Kapiga show.

Hata watu 50 hakupata.

Na kati ya hao 30 walikuja kuwaangalia ma star wa Caribbean. Wabongo walikuwa kama 20 tu.

Nikasema mi nilijua haya yatakuwa hivi kabla hayajatokea.
Aisee kumbe hiyo ndio ilikuwa hali halisi...dah...sasa mbwe mbwe nyingi kumbe hamna kitu....
 
New York is a busy City.....huyo kijana atajaza watu uswahilini kwenu huko ambako hamna kazi mmejalia umbea...muda wote...alafu mkiambiwa ukweli mnadhani kijana anaonewa wivu kwa kipi??
hebu toa ujin.ga hapa
 
Aisee kumbe hiyo ndio ilikuwa hali halisi...dah...sasa mbwe mbwe nyingi kumbe hamna kitu....
Hahahaha, huwezi kusema hamna kitu, Diamond msanii mkubwa, kawajaza uwanja mzima Madagascar tunaambiwa.

Pengine waliofanya kazi ya kuandaana kutangaza show ndio waliokosea.
 
Kama mtu hajaelewa hapa hata aje professor gani kumwelekeza hata elewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga of ALL TIMES!!

unakaa chini mweeeenyewe
 
Hahhahaha haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…