Ali kiba ni kati ya wasanii walioalikwa kutumbwiza siku trump anaapishwa

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Kweli mziki wa bongo flava unapaa maana si kazi rahisi msanii wa bongo flava kuhudhuria na kutumbuiza kabisa siku ya kuapishwa rais mteule wa Marekan bwana Trump.

Kwa taarifa rasmi kutoka white house zimethibitisha kuwa kiba atakuwa ni mmoja wa wanamziki walioalikwa kutumbuiza siku Trump anaapishwa.

Tumtakie kila la heri King kiba ili akatuwakirishe vizuri wana watz bongoflava to the world.
 
Itakuwa vyema sana sio kila siku daimond tu,tunataka na wengine wainuke juu tuwe na wasanii wengi wa kimataifa sio kung'ang'ania wasanii wawili tu inaudhii
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
umeimiss ban, ngoja mod waje wakusome na mada zako za mwendokasi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Thubuuutu!! Labda yule babu yake na kiba (bushmen) maana yeye kuna kitu Trump atashangaa maana bushmen ni primitive na pia ni tourist attraction, ila sio kibakuli. Kuna akina Bruno mars wana vocal kama wametoka mars.....!

Ni sawa na wamarekani wakitaka msanii wa Hip Hop afu wamfuate Nicki mbishi wamuache mnyamwezi Kendrick Lamar au mkali Kanye!

Senseless.
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…