Ali Kiba ni kimbilio la wanyonge

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu heshima Iwe kwenu
Nisiende mbali sana napenda kumsifu king kiba kwa kuwafariji wanyonge ambao wakikataliwa team kulipa Kodi yeye anabeba na kuwafariji walau siku zisogee mbele zaidi, na Hakuna ujanja ujanja Ni kupumuliwa tu.
 
Hii sentensi hapa chini inawatosha kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah mtoa uzi jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…