Ali Kiba, The Greatest Faker Of All Times! Youth Take Notes How To Win Big In Life! (The Review)

umeshindwa kutofautisha takeu na mchiriku kwenye "mdogomdogo" wewe hujui mziki jamaa
 
Upo kama sigara kali, waliokuelewa wachache sana hasa wamechukua pointi yako ya mwisho ( unawavesha kiremba cha ukoka timu wema na timu kibakuli japo umesema una timu ) Mimi nimekuelewa uliposema nanukuu: ANAPOPITA KIBA, DIAMOND ALISHAPITA MIAKA 3 - 4 NYUMA, PIA KIBA SI WA KUSHINDANA NA DIAMOND KWA SABABU YEYE NDIYE ALIYETANGULIA MIAKA MINGI KABLA. ( ningekuwa mimi nipo kwenye hizo timu ningekupa booooooooonge la tusi,ila wavivu wa kusoma na kuelewa umewakamata sana.)
 
naona povu tu kwa sasa, Aisee kiba sio mtu mzuri, wakulima wa tomato roho inataka kuwatoka na bado
 
Kwani ulikua ni mkataba wa shillings ngapi.?! (Alilipwa kiasi gani na vodacom)
Hahahaaaaa! Adui muombee njaa ila sio kihivi looooh! CHEZEA HELA ZA WAHINDI WEWE. HAPO BADO. Wahindi tatizo mambo yao kihindi hindi. Afu Tomato lao bayaaa lina sukari na harufu flani hivi, DABAGA ndo mambo yote na AMERICAN GARDEN.
 
lara 1 .. OMG!Asee nimesoma mwamwi..Ingawa unamkubali Kiba ila Dimondi umemtendea haki.Pia facts ulizotema humu ni kweli tupu.Hongera kwa analysis nzuri iliyoenda shule...If u ddnt go to udbs..u culd have made one hell of an engineer pale CoET
 
Sitegemei diamond kushuka kimziki hivi karibuni,mshindani wake hasa bado hajapatikana labda yeye mwenyewe aamua kuacha mziki
 
Wabongo bwana,nimeshindwa kuwaelewa yaani kweli kabisa unaweza kumtaja Diamond na Kiba in the same breath. Huyu Diamond anaekwenda rub shoulders na ma stars wengine katika BET awards.Well once he is gone sijui hiyo vacuum tutaijaza vipi? Tulikuwa na Filbert Bayi kaondoka na riadha yake leo hii we are not worth mentioning in the athletic world. Inabidi tuenzi kitu kinacho tuweka kwenye ramani-hawa local players kama Kiba tuwa support nao wafikie level ya Diamond sio tunawapaka siagi ya stardom isiyo exist
 
Hivi kwann alikiba anapambanishwa n diamond. Watu wenye level 2 tofaut. Alikiba saiv level yake ni nuhu mziwanda. Huo wimbo wa "aje" jmn unapigwa promo lkn hamna ki2. Yan ni bureee kabisa. Kwel m2 ukimpenda sn anapokosea huon ata akinya unaweza sema ni cake
 
huu uzi ulienda wapi? mbona nimeutafuta sana sikuuona!!
 
Kiba akili zake za kushikiwa na mashabiki wa vigodoro hana jipya hata achome udi tani 1000 hawezi mfikia chibu hata robo.....
 
MBAGARA = Mbagala
ZALI = Zari.
 
Haya bhanaa ila inakupasa ujue hata wakati diamond ametoa mbagala na hitz nyinginezo... Ali alitamba na single boy, dushelele plus my everything ambazo zilisumbua sana ndipo akapotea na hii ilimpa diamond njia nyeupe

By the way wakati diamond ananapandisha ngazi hakuwahi kukutana na vichwa vinavyofanya mziki freely zaidi ya watoto wa t.h.t ndo maana akatoboa..chukulia kiba alijulikana sana lakini tuzo ilikuwa ni shida maana kulikuwa na vichwa kama Marlaw ,Hussein machozi plus malegendary kama dully bado walikuwa active etc....

Ali kiba was great ila dai ni game changer.... Lakini tuwape support wote
 
Lara Iyo pic ya Avatar ndoo lishemuuuuu letu nini!!!
 
Acheniiii Wivuu..Dai Alisain mkataba kuanzia muda huu mpaka muda huu..Sasa muda umeishaaa kulingana Na Pesa yakee aluyolipwaaa unaanza Majunguu eti Hawataki hata kumsikiaaa.ivi mnajieleewa kweli ninyi Mahaters????Kwa iyooo mlitaka Voda waendee tu nae hata kama kuna mkataba???Are insane??please Team Ali Kiba just do your own things or go to Sleep!!
 

HAHAHAAAAAAAAAAAA! Kama vipi bosi wako AJE gheto yaani fagio lote hili bado unanichukulia mwanga tuuuu?

NOTE: POST IJAYO NAMCHANA TZ SWEET HEART WEMA SEPETU NA LIPSTIC ZAKE. (Andaa kibwebwe)
 
Lara Iyo pic ya Avatar ndoo lishemuuuuu letu nini!!!

Walaa huyo kaka ni ameparalise maskini anaomba msaada anaitwa Ahmed Abety. Mtafute insta na facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…