Ali Kiba, The Greatest Faker Of All Times! Youth Take Notes How To Win Big In Life! (The Review)

Kiba akili zake za kushikiwa na mashabiki wa vigodoro hana jipya hata achome udi tani 1000 hawezi mfikia chibu hata robo.....

Kwenye AJE kampotezaaa (It could be permanent or temporary. We will see)
 
Sitegemei diamond kushuka kimziki hivi karibuni,mshindani wake hasa bado hajapatikana labda yeye mwenyewe aamua kuacha mziki

Dai anashuka kwa kasi. ILE PEAK YA NUMBER 1 HAIJAFIKA. Anajamba jamba tu soon mashuzi yatamuishia.
 
Sikutegemea kama ningeweza kusoma makorokocho yote hayo mareeeeefu nikamaliza,

uko vizuri umepangilia na facts kibao......washindwe wao tu vinginevyo wataishia kuwa kama nyigu tu, kata mauno sanaaa.....asali nehii!!

thanks Lara, I was his fan since sindelera ila alipoanza bif na Dai. ..ndipo nilipoanza kumfaham Dai na kumkubali na sitegemei kuhama...hiyo aje nasikilizaga kwa shingo upande....
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... Aje ni wimbo Mzuri.... Ka relax sana... melody, vocals, rhythms zipo vizuri sana. Acha ushabiki sikiliza vizuri
 
Lupela is best Song , lyrics zipo fresh. Tatizo beat Lake vinanda vingi sana Kama ngoma ya wasukuma.
 
Diamond platnumz sasa hivi ni zamu yake na atakaye mfunika mondi ni msanii mwengine kabisa hata hatutomzania, si kiba kwani kiba zamu yake imepita na alishindwa kutumia chance zake akazini mziki unamsubiri yy. Gem ni zam zam, zam r-kelly zamu yake iliisha, akaja usher zam yake nayo imeisha, ikaja zam ya criss brown nae criss naona anaanza kuelekea ukingoni. Sasa hv jeremiah au August alsina wanaanza kumfunika criss polepole. Huu ndio mziki ukapata nafasi inabidi utumie haswa.
 
hii mikojo uliyoandika humu ndo unaiita well researched.... hili li janamke sijui la wapi hili
 
Wanaomchukia DIAMOND PLATNUMZ katika bongo flava ni sawa na waoamchukia Christian Ronaldo au Messi kwenye football, utaumiza roho yako bure!
 
Sasa Naomba tu niulize.. Wewe uliendika hii mambo ni wakike au wa kiume.??
 
Sitegemei diamond kushuka kimziki hivi karibuni,mshindani wake hasa bado hajapatikana labda yeye mwenyewe aamua kuacha mziki
Ndugu, AJE ndio inamzika Dai kwa taarifa yako. Hili pini ni version ya Cinderella kwa karne hii. Unaijua Cinderella vizuri au uliiskikaga juu juu????
 
dia anapotea sana kimuziki,.ni mwezi wa saba ally kiba anaenda kuchukua BET award vs Davido..aje ni moto,lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…