Ali Kiba, tunaoumia ni mashabiki zako, chamgamka acha mapozi

Kuna ushabiki na mapenzi ya mziki...
Vyote ninavyo kwa ali k yooo....
2019 kanidhalilisha.Ni mbovu kwenye public speech na bado ana maringo sana,Pia kauli ya unikome na penseli haijakaa kiume zaidi.Na bado hajitumi.Man maji na abby dady wanalalamika amedhulum (hio ni mbaya zaidi)....
Nimekwaziaka lakini sio sabab ya kuama chama...
Team kiba for life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio shabiki wa Ali Kiba. Ungekuwa shabiki hakika ungejua yanayoendelea kuhusu yeye na wasanii wake. Acheni mambo ya kuchafuana namna hii,aliyekutuma hakukupanga vzuri dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…