Ali kiba video is out (mshumaa)

Trust me nyimbo mbaya niwahi ukisikia inaitwa Baba lao Upupu mtupu
 
kiba jinga sana... kwahyo alijifungia getto na machizi wake wakina ki2ga wanasikiliza mishumaa..!
ila wimbo mtamu, kwa zilizotoka wiki hii, huu nimeupenda nimeupenda kusikiliza ila kwa video baba lao ndo funika
 
Trust me nyimbo mbaya niwahi ukisikia inaitwa Baba lao Upupu mtupu
Mimi niliposikia nikajua anataja majina ya watu waliojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…