Hahahawalinipa ban ndo imeisha leo
walinivuruga sana kwa kweliHahaha
Pole mkuuu
Walikuvuruga eeh, [emoji23]
Usiwe una panicwalinivuruga sana kwa kweli
Kuna thread nilianzisha kuhusu Faiza mods hawakupenda title yake ndo wakaamua kuniweka mahabusu kidogoUsiwe una panic
Mamabo madogo hayo mkuu[emoji23]
Peleka shule ukweni kwenu... Watu tuna Elimu dunia we una ng'ang'ana na makaratasi ya A4.Mkiletewa majibu ua mitihani yenu na necta mmepata 0 mnalalamika ooh serikali haitaki kufaulisha watu, kumbe nyinyi ndo mnamatatzo. Mtoa mada kauliza nani zaidi wewe unaanza kutoa utofauti kwan umeulizwa compare and contrast au umeulizwa who is the best.
Ndalichako ana kazi kubwa
HahahaaKuna thread nilianzisha kuhusu Faiza mods hawakupenda title yake ndo wakaamua kuniweka mahabusu kidogo
Unaona sasa tatzo lakePeleka shule ukweni kwenu... Watu tuna Elimu dunia we una ng'ang'ana na makaratasi ya A4.
HahahahaMmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)