Endeleeni kuomba hivyo hivyo ila majibu yakitoka msisahau kuja hapa kufunga maombi yenu.Pamoja tusio piga kura tunafanya kuomba tu kwa Ally Tembele kushinda...
[emoji109][emoji23][emoji122]Mayai namfananisha na wakina Hashimu Rungwe kwenye mbio za Urais wa Tanzania.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Unamkubali kwa lipi hasa?Namkubali mayai mungu amtangulie
Weka CV ya huyo mtu wako pleasemkuu una bifu naye nini... au na wewe ni malinzi?
Bifu kuhusu nini?tuwekeeni historia na mafanikio yake kiuongozi hapa.mkuu una bifu naye nini... au na wewe ni malinzi?
Anafaa kufanya nini,kucheza mpira au kuendesha roli?Ally Mayai Anafaa
Anamkubali endapo atakua Rais wa TFF ... au wewe ulitaka lipi katika mambo anayo mkubali mbali ya hili lililotengeneza uzi huu ili akufafanulie ...
Tuwekeeni CV yake basi hapa porojo nyingi hatutaki. Hata Michel Platin alikuwa mchezaji hodari uwanjani lakini lilipokuwa swala la uongozi wa chama cha mpira/UEFA lilimshinda na akatia aibu kubwa sana.Anamkubali endapo atakua Rais wa TFF ... au wewe ulitaka lipi katika mambo anayo mkubali mbali ya hili lililotengeneza uzi huu ili akufafanulie ...
Maswali mengine bana ya kibwege kweli Hovyoooooo!!! Mcshwiszsszszszszzzz
Frank Wanjiru anampenda Malinzi kama Cocochanel anavyompenda Makonda. Hawa watu wana mahaba mazito kwa watu wao. Wana hiyari wakurupuke hata usiku wa manane humu wawatetee watu wapenzi wao.mkuu una bifu naye nini... au na wewe ni malinzi?
Kama wewe unavyompenda Mayay kuliko unavyompenda Mkeo na vile vile unamchukia Malinzi kuliko unavyomchukia Shetani.Frank Wanjiru anampenda Malinzi kama Cocochanel anavyompenda Makonda. Hawa watu wana mahaba mazito kwa watu wao. Wana hiyari wakurupuke hata usiku wa manane humu wawatetee watu wapenzi wao.