ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Mayay ukimsikiliza utajua kama jamaa ana vision na mipango thabitiTuwekeeni CV yake basi hapa porojo nyingi hatutaki. Hata Michel Platin alikuwa mchezaji hodari uwanjani lakini lilipokuwa swala la uongozi wa chama cha mpira/UEFA lilimshinda na akatia aibu kubwa sana.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ndio hapo sasa,halafu eti wapambe wake alioenda nae kuchukua form ni wakina Julio yule mropokaji wa Simba.Ila huyu Mayai angegombea kwanza hata ujumbe wa kamati ya utendaji ndipo aje kwenye urais siku za usoni!
Kuna kosa gani, Malinzi needs another term to bring into reality his ambitions to advance soccer! He has done a great job!Frank Wanjiru anampenda Malinzi kama Cocochanel anavyompenda Makonda. Hawa watu wana mahaba mazito kwa watu wao. Wana hiyari wakurupuke hata usiku wa manane humu wawatetee watu wapenzi wao.
Hata wanasimba walipomsikiliza Manara wakajiaminisha kabisa Msimu uliopita ubingwa ni wao lakini nini kilichotokea?Mayay ukimsikiliza utajua kama jamaa ana vision na mipango thabiti
Ndio
Tuwekeeni CV yake basi hapa maana hata ukiomba kazi unapeleka CV yako kwanza then ndio unafanyiwa interview hapo ndio unaanza kubwabwaja.Mayay ukimsikiliza utajua kama jamaa ana vision na mipango thabiti
Ndio
Tuwekeeni CV yake basi hapa maana hata ukiomba kazi unapeleka CV yako kwanza then ndio unafanyiwa interview hapo ndio unaanza kubwabwaja.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Watuwekee zote za Mayay na huyo Mtemi sio porojo tuu anafaa anafaa.CV ya mayay please, Mtemi vipi CV?
darcity embu tuwekee CV ya Mayay na Mtemi tafadhali.Frank Wanjiru anampenda Malinzi kama Cocochanel anavyompenda Makonda. Hawa watu wana mahaba mazito kwa watu wao. Wana hiyari wakurupuke hata usiku wa manane humu wawatetee watu wapenzi wao.
Sikiliza EFm kesho wanaeleza wasifu wa wagombea uraisdarcity embu tuwekee CV ya Mayay na Mtemi tafadhali.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa, isije kuwa kama wale wabunge wa EAC waliochakuguliwa kwa huba. Hiyo nafasi inahitaji uelewa mpana zaidi ya kupiga chenga uwanjaniWeka CV ya huyo mtu wako please
Usidhani kila mtu yupo TZ au ana access ya hiyo Efm na pia hutakuwa hutendi haki kama unabishana kwa hoja na wenzako badala ya kuwajibu hapa hapa wewe unawaambia waende kupata majibu ya maswali yao sehemu nyingine.Sikiliza EFm kesho wanaeleza wasifu wa wagombea urais
Hawa watu wanatia kinyaa sana eti Mayay anafaa sababu tuu alicheza Moira wameshau yaliyomkuta Platin.Kweli kabisa, isije kuwa kama wale wabunge wa EAC waliochakuguliwa kwa huba. Hiyo nafasi inahitaji uelewa mpana zaidi ya kupiga chenga uwanjani
Mayai amewahi kuongoza wapi unasahau kuwa kucheza mpira ni tofauti na kuongoza. Kuna kitu kinaitwa tacit knowledge, unaweza kufundisha namna ya kucheza mpira lakini wewe mwalimu huwezi kucheza kama unavyofundisha. Mayay kucheza mpira lakini si warrant ya kujua kuongoza chama cha Mpira... something of that natureSikiliza EFm kesho wanaeleza wasifu wa wagombea urais
angalia post yangu hapo chiniHawa watu wanatia kinyaa sana eti Mayay anafaa sababu tuu alicheza Moira wameshau yaliyomkuta Platin.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Namkubali mayai,sababu napenda mayai ni matamu.
Nimeiona na umefanya vizuri sana kumjibu huyo jamaa.angalia post yangu hapo chini
Ni ajabu mkenya wa kibera anapokuwa na uchungu na soka la TanzaniaUsidhani kila mtu yupo TZ au ana access ya hiyo Efm na pia hutakuwa hutendi haki kama unabishana kwa hoja na wenzako badala ya kuwajibu hapa hapa wewe unawaambia waende kupata majibu ya maswali yao sehemu nyingine.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hapo sawa lakini yakija kwenye uongozi yanakuwa viza.Namkubali mayai,sababu napenda mayai ni matamu.