LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
tatizo la hapa tz ni kuwa watu wanaohusika na planning and enforcement of policies wanakuwa kama vile wako hapa kutengeneza pesa tu na hawahusiki na failure baada ya hapo!
Cha kuwakumbusha hapa ni kuwa hawana mahali pengine pa kwenda bali watabaki tu hapahapa. Matokeo yake zile faida ambazo zingesambaa kwa wananchi wote zitageuka matatizo kwa wengi ambayo yatawaathiri na hao wapangaji wa hizo policies.
Nawashauri tu watu wanaosimamia uchumi wabadilishe mwelekeo, hii nchi ina potential ya kusonga mbele na hilo wote inabidi tulijue. Hao wakenya, waganda, Rwanda, Zambia nk mambo hayatokei tu kama mvua (yaani kusubiria kuwa 'Alhamdulilah, Mwenyezi Mungu ataleta Heri') bali watu wanapanga mipango na kuitekeleza na ndio kisa cha kujenga mazingira bora ya biashara.
Tuache uswahili!
hUYU MAFURUKI kumbe ni mkenya?/ahamishie biashara zake kenya,nafikiri itakuwa easy kwake kuendesha biashara kwa faida zaidi
MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI BWANA ALI MFURUKI AMEUNGANA NA WAFANYABIASHARA WA KENYA WALIOWEKEZA TANZANIA KULALAMIKIA HASARA WANAZOPATA NCHINI. ANASEMA BIASHARA NI NGUMU TANZANIA KULIKO ILIVYO KATIKA NCHI NYINGINE ZA UKANDA HUU WA AFRIKA MASHARIKI. ANASEMA BIASHARA ALIZOWEKEZA KENYA NA UGANDA ZINALIPA KUIKO ILIVYO TANZANIA. MAZINGIRA YA KUFANYA BIASHARA TANZANIA SI RAFIKI KWA WAWEKEZAJI WENGI HASA KUTOKA KENYA.
SOMA ZAIDI HAPA: Fight or flight? Dilemma of Kenyan investors in TZ *- Smart Company*|nation.co.ke
lakini mkuu wanaongea hivyo wakiwa wanafunga biashara na kuondoka!Ukweli ni kuwa hawa wote katika ukanda huu wa Afrika mashariki wana pendelea zaidi kufanya biashara Tanzania,huku kulalama ni kauli za kibiashara siku zote wafanya biashara wanataka kupata zadi,kama Uganda,South Sudan ni bora wasilalame waende tu.