Ali Msham na tawi la TANU la mtaa wa Jaribu, dua ya kumuombea Nyerere safari ya kwanza kwenda UNO 1955

Ali Msham na tawi la TANU la mtaa wa Jaribu, dua ya kumuombea Nyerere safari ya kwanza kwenda UNO 1955

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
ALI MSHAM NA TAWI LA TANU LA MTAA WA JARIBU DUA YA KUMUOMBEA NYERERE SAFARI YA KWANZA UNO 1955

Picha hiyo na maelezo yake nimerushiwa na mmoja wa wasomaji wa makala zangu za historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Nami kwa kumshukuru nimemwandikia maneno hayo hapo chini:

''Hii picha ni hazina kubwa sana.

Jana TBC walikuja kunihoji na nilimweleza Mzee Msham kwa kirefu.

Bahati mbaya sikuwa najua hayo ya dua ya Mwalimu Nyerere safari ya UNO aliyfanyiwa na Ali Msham na wanachama wa Tawi la TANU la Mtaa wa Jaribu.

Subhanallah Allah anairejesha kwetu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kwa njia mtu huwezi hata kufikiria.

Nani hii leo anaemjua Ali Msham na mchango wake?''

TANU BRANCH MTAA WA JARIBU.jpeg
DUA YA ALI MSHAM KWA NYERERE SAFARI YA UNO.jpeg
MOHAMED NA TBC.png
 
Back
Top Bottom