Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nimemuangalia katika mechi kadhaa toka asajiliwe Yanga, nimegundua Ali Sonso hatoshi kuwa katika jezi za Yanga.
Kwasasa anacheza beki namba 3, sio mzuri sana kwenye ukabaji, lakini hata anapopanda kupiga krosi wakati wa mashambulizi, krosi zake zinakosa accuracy. Huwa anajipigia tu bila ya kuwa na uhakika.
Yanga ni bora wangembakisha Mwinyi Ali, kuliko huyu Ali Sonso. Labda ni mzuri akicheza kati lakini kwasasa hawezi kuwatoa Lamine Moro au Kelvin Yondani.
Dirisha dogo Yanga watafute Beki 3 mzuri wa viwango vya kucheza Yanga. Hawa akina Sonso ni wachezaji wa kariba ya Lipuli, Mbao, Biashara Utd.
Basi leo nimekuunga mkono mkuu. Sonso wa kawaida sanaNmewahi andika uzi humu kuhusu Ali Sonzo kuwa kiwango chake si cha kucheza Yanga. Hata kutuliza mpira tu hawezi
Lakini pale kati ataweza kuvunja patnership ya Moro na Yondani?Sonso beki wa kati,kule pembeni anafosiwa tu
Simba matatizo nayo yapo. Kuna wachezaji ni magarasa paleHuku unyamani hali ni tofauti. Maingizo mapya yote yapo vizuri. Namuelewa sana Miraji na wenzie
Amunike ndio alimuibuaAnaitwa Sonso Amunike.
Ngoja akutane na muhuni ShibobKiukweli jamani hata Tshishimbi kama mnamfwatilia vizuri mwangalieni tu anapopata mpira awezi kutoa pasi kwa usahihi yaani anapoteza mipira kizembe sana.
Na walikua kama Joginho na Sarri,Amunike ndio alimuibua
Nani garasa pale?Simba matatizo nayo yapo. Kuna wachezaji ni magarasa pale
Kweli mkuuNa walikua kama Joginho na Sarri,
Amunike alikua haoni makosa ya Sonso.