Mungu awape makazi salama huko mlikotanguliaMimi mwenyewe niliajiriwa miaka 2 tu sasa hivi nafanya mambo yangu mwenyewe vijana msilale nafasi kibao kazi kwako uwe na bidii ujiamini pamoja na ujuzi wa kutosh a
Mimi mwenyewe niliajiriwa miaka 2 tu sasa hivi nafanya mambo yangu mwenyewe vijana msilale nafasi kibao kazi kwako uwe na bidii ujiamini pamoja na ujuzi wa kutosh a
Hivi kwenye ID yako ukiandikiwa chini yake RIP wanamaanisha wewe (au mwenye ID kafariki) au iyo ID imepigwa ban la maisha ndio maana imeandikwa RIP?
Nimeona RIP chini ya ID ya mkuu niliemtag hapa juu.
Ushindani ni mkubwa zaidi lakini kuna opportunities nyingi zaidi ya ilivyokuwa kwenye eighties.kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi