Ali Mufuruki: whatever the election outcome, we should stand ready to help this country move forward

Makini

Senior Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
154
Reaction score
59
Ali Mufuruki's thoughts on the coming elections in Tanzania

=========

 
Ukweli mtupu huo....subiri wenye akili za viroba waje hapa...
 
Namuheshimu sana Mufuruki ila somewhere anajichanganya. Hapo kwenye suala la muungano nani kamuambia kuwa ndani ya siku 100 iwapo atashinda Lowassa wataform serikali tatu anazofikiria yeye.

Claim ya UKAWA ni kurudia katiba ya wananchi na kule kuna aina ya muundo inayokusidiwa. Na ujinga kufikiri hata hiyo implementation inaweza kufanyika bila referendum ambapo wote tutaamua kwa pamoja.

Mwisho ameonesha dhamira yake ya chuki dhidi ya Chadema na tamaa ya kuiona CCM mpya bila kujadili huo upya au msingi dhidi ya hofu kwa Chadema.
 
Of course he can't bite the hand that feeds him
He thinks by using the Queens tongue he is smart? ---- is ---- even if you speak it in Latin!
CCM is one giant criminal gang by itself that is long past the point of salvation.
I do admit though that 3 governments would spell disaster for Tanzania and the entire East African region.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…