Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 582
Iko hivi!
Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka ujauzito. Akajifungua mwaka watatu mwanzoni.
Wakalea mpaka Manzi alipo hitimu chuo. Mwamba huduma zili lega kidogo,, ..Manzi akabeba mtoto kwenda kumtelekezea jamaa. Jamaa akaona siyo tabu,akabeba mtoto peleka kwa bibi yake. Kila mtu akashika 50 zake. Mtoto amelelewa na Bibi mpaka ameanza chekechea . Manzi akapata kazi MEO,MTAA EXECUTIVE OFFICER. Jamaa kidogo uchumi uka kaa sawa. Kumbe alisha pata na mchumba mwanakwaya mwenzake.
Manzi baada ya kulamba ajira aka mtaka mtoto, jamaa akasema no,mwanangu hawezi lelewa na baba baki ,manzi naye anasema mwanangu kwa bibi ana lemaa. Waka kutana waka yajenga na kukumbushia juu. Manzi naye ana mchumba sasa. Penzi na mzazi mwenzake lika kolea. Wakapanga mikakati ya kuoana mwezi wa nane mwaka huu, sema manzi tamaa jamaa aliye naye hataki ku mwacha na penzi na mzazi mwenzake lime kolea. Mzazi mwenzake naye akashitukia game, aka rudisha majeshi kwa mchumba wake,,mchumba naye alivyo ona mzazi mwenzake na mchumba wake amerudisha majeshi ,akafanya mikakati ya harusi chapu hatimaye siku ya ndoa ikafika.
Aiseee Mzazi mwenza kaja kufanya vurugu la kufa mtu church ,tuka muuliza ndoa ili tangazwa kwanini hujitokeza kuleta pingamizi ,Ali jibu tu kusalitiwa kuna umma na hapa nina mimba ya huyu mzazi mwenzangu. Sasa nikajiuliza kwanini mwamba amwahidi mzazi mwenzake kuwa atafunganaye ndoa mwezi wa tano ili tu akumbushie haba la mzazi mwenza? Nimelia sana na kwanini manzi hakujitokeza kutoa pingamizi kabla,, nime lia sana.
Na hicho kibendi. Niliona tu defender inabeba mdada aliye leta fujo church,ila ndoa ilifungwa. Natafuta mawasiliano ya wazazi wa bwana harusi wakae mezani na wazazi wa mzazi mwenza wa mtoto wao. Au nikaushe tu. Wewe unge washauri nini...au tulie tu wote then tukaushe.