Aliahidi kufunga ndoa na mzazi mwenzake ila kafunga ndoa na mtu mwingine

Mkuu unapoleta wazo jukwaani, zipitie na sheria za jambo unalolileta ili usionekane kupwaya!

Ushasikia wapi hawara ama kimada kuweka pingamizi la wachumba ili wasifunge ndoa?

Yaani kuna mengi tu katika andishi lako umepwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…