Alibaba.com

sirdelta

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
306
Reaction score
82
Msaada wazee nataka kufanya biashara kupitia alibaba.com
naomba kujua ambao walishawahi na experience yao kwenye hii online thing
na je jamaa ni waaminifu na bidhaaa ni bora ...kama unavyoona kwenye pic ...
na if any complain where do u go
 
jamaa hawana tatizo. bei za vifaa wanavyovitangaza ni poa na sio vibaya. kwa sasa Alibaba wameingia kwenye stock market ya USA na wanafanya vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…