Alibaba na wezi 40

Kasinge mnoooo
 
Usijali, kumbe wengi tu wapenzi wa simulizi kongwe
 
MK254 nakukaribisha kwenye wiki ya usomaji wa vitabu.
Wiki hii ntarusha hewani vitabu vya simulizi za kale.
Usikose wasaa huu muruwa na mahsusi kwa wapenzi wa ngano za kale

Shukrani bro, nakumbuka nilikisoma hiki kitabu cha Alibaba enzi hizo nikiwa mvulana mdogo, aisei safi sana, kwanza hii hapa nitawapa watoto wangu wasome kisha niwahoji maswali kadhaa humo.
 
Umenikumbusha hadithi za miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni mwa 1990. Radio Tanzania (RTD). Kipindi cha mama na mwana. Hadithi za UA JEKUNDU,ZIMWI KISIRANI, KIJANA AKAJASE n.k Ilikuwa rahana mama Deborah Mwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…