Alibaba na wezi 40

Nakumbuka zaman sana nikikisoma hiki kitab pamoja na sinbad
Endelea kupata uhondo.

 
Bora tu nilienda kwa posts zako sikujua kama umepost nyingine nyingi.
Nimewahi soma ya Alfu lela pekee.
Shukran
 
MK254 nakukaribisha kwenye wiki ya usomaji wa vitabu.
Wiki hii ntarusha hewani vitabu vya simulizi za kale.
Usikose wasaa huu muruwa na mahsusi kwa wapenzi wa ngano za kale
Mkuu nimeku PM sijui kama ntakua nimepatia utaona ujumbe wangu nimeambatanisha na mawasiliano yangu uweze kunitumia Mzee baba
 
Dah, ila nimejifunza jambo kubwa sana, kuna wakati watu wanakufanya uishi bila wewe kujua ni kwa ajili yao upo hai, , , , mheshimu kila mtu!
 
Sjawahi kuzichoka hadithi za Alfu lela ulela.

Tuletee KISA CHA MBILIKIMO MWENYE NUNDU
 
Aaa wee nimezitandika hadithi humu wacha nilale kidg nikiamka ninazo
 
Shukrani sana mkuu Bujibuji
Kisa ni kizuri sana na cha kuvutia
 
Bujibuji ni mtu na nusu hajui kuremba km wale mabishoo.[emoji2936]
 
Nimefanya kazi na wachina ktk kampuni tatu tofauti. Kote huko mwizi walimwita Alibaba... Nini kilitokea kati ya wachina na kampuni ya Alibaba?
 
kwa kichina mwizi huitwa "xiao tou", labda kama hiyo alibaba wamekuwa wakiihusianisha na ile hadithi ya "Alibaba and forty thieves", na hata katika hiyo hekaya, huyo Alibaba hakuwa mwizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…