First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
- Thread starter
-
- #21
Asanteni sana, nafurahi kwa kuwa in most case there is no one who is advicing me to leave her, but mwisho wa siku hatima ya huyu mtoto itakuwaje? Baada ya mtoto kuzaliwa baadhi ya watu waliamini kuwa mtoto ni wa yule jamaa, sasa akiwa mkubwa na akamfahamu baba yake ambae ni babu yake itakuaje? Atamchukuliaje *****? Atanichukuliaje mimi?
Mkuu ngoja nikupe live ndogo..Faulo Kama hiyo imeshatokea kwenye ukoo wetu...wazee walisameheana...mtoto amekuwa mtu mzima..jambo hilo limebaki historia Kwani kitanda hakizai haramu, watu wanaendelea kuheshimiana..kumbuka sisi binadamu tunauwezo Wa kusahau Kama tunataka...kubeba matatizo ni choice yako.. Mungu ametuumba..kusamehe, kusahau na kusonga mbele.Asanteni sana, nafurahi kwa kuwa in most case there is no one who is advicing me to leave her, but mwisho wa siku hatima ya huyu mtoto itakuwaje? Baada ya mtoto kuzaliwa baadhi ya watu waliamini kuwa mtoto ni wa yule jamaa, sasa akiwa mkubwa na akamfahamu baba yake ambae ni babu yake itakuaje? Atamchukuliaje *****? Atanichukuliaje mimi?
Heshima kwenu Great thinkers ndani ya Kapeti!!
Ni suala ambalo kiukweli linanichanganya sana, lakini nahisi kwa kuweka mikono na akili zetu pamoja naweza kuwa na UAMUZI SAHIHI WA KUCHUKUA.
Miaka kama minne iliyopita nilikutana na binti ambaye kiukweli nilitokea kumpenda kutokana na uzuri na heshima pamoja na utulivu wake, nilimwelezea hisia zangu lakini alizipokea kwa kuhisi kuwa nisingempenda endapo angepata muda na kuniambia hali aliyokuwa nayo. Nilimtoa wasiwasi na kumwambia kuwa ningekuwa tayari kwa lolote.
Yule binti aliniambia kuwa yeye alikuwa na mtoto(tayari kashazalishwa ingawa hakuwa pamoja na huyo boyfriend wake), akaniambia kama ningekuwa tayari kumpenda yeye na mtoto wake basi angekuwa tayari kuwa na mimi
Nilikuwa tayari na tukaanza mahusiano, lakin siku zilivokwenda yule binti alionekana kama hakuwa na amani, nikamuuliza na kumwomba kuwa huru kabisa,
Huyu binti kwanza kabisa alinitaka radhi, na kunieleza wazi kila kitu mwanzo mwisho, kwamba Mama yake aliwahi kukorofishana na baba yake wakatalakiana ndipo mama alivoamua kumchukua kijana wa makamo kama mumewe.
(kipindi hicho yy akiwa mdogo mwnfnz wa kidato cha kwanza)
Siku mmoja mama akiwa safarini yule babaake mdogo alimbaka lakini yeye alimficha mama, miezi michache baadae akajishtkia kuwa ana ujauzito. Hapo ndipo alipoacha shule kwani hata alivomwambia mama hakuamini kwa kudhani kuwa alikuwa anamsingizia mumewe. Alimzaa mtoto wa kike aliefanana copy right na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo babake, nilipata mshituko alivoniambia kuwa mi ndo nikuwa boyfriend wake wa kwanza kabisa ila baba mdogo wake ndie chanzo cha kila kitu.
Sasa wakubwa nifanyeje??
1. Niwe na mtu ambae amezaa na babaake?
2. Nimwache ilhali nilimuahi kuwa tayari kwa taarifa zozote?
Inaniuma kweli, naombeni ushauri
wenu Mzaliwa wa Kwanza.
.
.
Zomba, nafikiri hujayasoma vizuri maelezo, kipindi anafanyiwa hivoa alikuwa mdogo, just imagine she was just a form one, huenda ni kutokana na woga alinyamaza lakini hata alipokuja kumwambia mama yake alimruka, so unafikiri kama mama hakuwa msaada kwake kwa wakati huo nani mwingine angemsaidi kwa akili zake za kitoto?Mbona unachakachuwa, huyo si babaake ni bwana wa mama'ke. Alivyobakwa alichukuwa hatua gani ya kumshitaki aliyembaka? kama hajachukuwa hatua basi hajabakwa huyo alitaka mwenyewe. Mwambie akueleze ukweli.
Punguza jazba, mzee mwenyewe mi sijamwona, mi nimekutana na mpenzi akiwa yuko kwa bibi yake huku mjini, koz kule kwao kijijini ilikuwa aibu. Mwenyewe huwa namtamani sana. Isingekuwa dhambi ningemchinja tena kidogo kidogo ili apate maumivu kama alivyoyapata mpenzi wangu pamoja na mimi?Ila mtu mjinga na mpuuzi ni huyu mama mkwe wangu, nikifanikiwa kumuoa huyu binti nafiri sitamruhusu mamaake ae kwangu.1stBorn, mazee kama hayo ni ya kusweka rumande yakafilie huko huko, but, timiza ahadi yako kwa mke wako, please jitahidi umwendeleze kielimu you never know MUNGU ana mpango gani na familia yako na atakuwa pamoja nanyi. Ila huyo mzee nina hasira naye, we ngoja tu..
Marry her plz! Ukimwacha akaelea jua atajenga kisasi na wanaume na matokeo yake ni mabaya sana..! Anaweza kuwa player wa kike! Pia usimzuie mkwe kuja km utamuoa.Punguza jazba, mzee mwenyewe mi sijamwona, mi nimekutana na mpenzi akiwa yuko kwa bibi yake huku mjini, koz kule kwao kijijini ilikuwa aibu. Mwenyewe huwa namtamani sana. Isingekuwa dhambi ningemchinja tena kidogo kidogo ili apate maumivu kama alivyoyapata mpenzi wangu pamoja na mimi?Ila mtu mjinga na mpuuzi ni huyu mama mkwe wangu, nikifanikiwa kumuoa huyu binti nafiri sitamruhusu mamaake ae kwangu.
Sabry mi nitakuwa na raha gani na huyu mama ambae mwanae alimlalamikia kuwa amepewa mimba na huyu chali afu akampotezea kwa kudai kuwa anamsingizia mumewe? Inatia sana uchungu.Marry her plz! Ukimwacha akaelea jua atajenga kisasi na wanaume na matokeo yake ni mabaya sana..! Anaweza kuwa player wa kike! Pia usimzuie mkwe kuja km utamuoa.
Unamaanisha nimfanyie mpango achoreshwe 7? Mhhh! Ndugu yangu nina kahofu ka Mungu.Ka vp mfanyie mpango huyo mshua nae abakwe ili iwe fundisho kwake na kwa wote wenye tabia ka hiyo..!!
Dah, Sekitova we acha tu, sijui huyu mama anajisikiaje kuliwa, na kuzalishwa yeye pamoja na mwanae na mtu mmoja, ananiboa kweli.pole sn first born..,ila hongera sn maan umeonyesh kwel unamapenz ya dhat kwe mwenzio,msamehe tu mkweo maana huna jinsi ndo mama mzaa chema ipo siku atakuja elewa vzr kilichokua kimetokea huko nyuma!japo alikosa utu na kujisahau kuwa pamoja na yote bado yy ni mama tu!
Asante sana rafiki, ubarikiwe sana.Mungu ana makusudi makubwa sana kumleta huyo mpenzi wako kwako. Kwa hiyo kaa chini tafakari kwa nn muda wote huo hajawahi kuwa na boyfriend mwingine toka azalishwe? Mimi nadhani ni busara kwako kumpenda na kumtunza mpaka utakapofunga naye ndoa. Najua atakuwa na maumivu makali sana ndani ya moyo wake na mfariji pekee ni ww. Kuwepo kwako naye, kunamfanya ajisikie kuwa wanaume wote hawako hivyo. mthamini na kumpenda siku zote. Ukimuacha ataona kama dunia yote haimpendi. Kumbuka japo kuwa ana mama lakini maisha yake na ndani ya moyo wake hatomsamehe mama yake kwa kumuacha aangamie. Japo hawezi kusema lkn ukweli ndio huo.MTUNZE NA KUMFARIJI SIKU ZOTE KAKA. Na wala usionyeshe tofauti yeyote ndani ya nafsi yako.Mungu akutangulie katika hili.
Thanks Banga.Hiyo ilikuwa ni sawa na ajali ya kuangukiwa na tofali la utosi. Usimlet down. Pick her up mwende pamoja
Bibie hujambo, nikukamata sijui nani atatuamulia,nimesoma kauli yako sehemu eti Kloro yuko kwako na uliniahidi niko alone khah!Pole sana first born.
Kuna rafiki yangu wa kike tuna kama 2 weeks tangu tumejuana. Alibakwa na sasahv ni mjamzito. Juzi mpenzi wake alikuja kumtembelea kutoka mkoa mwingine ila mdada alikosa raha na hakujua afanyaje.
Nilimshauri aseme ukweli jinsi mambo yalivyokuwa.
Thanx god yule mwanaume amemuelewa na amekubali waendelee na uhusiano. Hana tatizo na mimba wala mtoto. Natamani first born ungekuwa muelewa kama huyo mwanaume. Hayo yote ni maisha, hakuna mtu anapenda afikwe na mabaya, hakuna ajuae kesho.