Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 245 Jul 17, 2011 #61 haha maana ya "kazaa na babake" naöna imebakwa. Ungesema babake wa kufikia. Ila nakushauri endelea nae mana unaujua ukwel,kwaiyo hamna haja ya kumkataa.
haha maana ya "kazaa na babake" naöna imebakwa. Ungesema babake wa kufikia. Ila nakushauri endelea nae mana unaujua ukwel,kwaiyo hamna haja ya kumkataa.
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,312 Reaction score 1,475 Jul 21, 2011 Thread starter #62 Mwanakili90 said: haha maana ya "kazaa na babake" naöna imebakwa.Ungesema babake wa kufikia.Ila nakushauri endelea nae mana unaujua ukwel,kwaiyo hamna haja ya kumkataa. Click to expand... nashukuru sana ushauri wako ni mzuri, lakini hata kama ni baba wa kufikia kwa kuwa ni bwana wa mamaake still bado is just like her father.
Mwanakili90 said: haha maana ya "kazaa na babake" naöna imebakwa.Ungesema babake wa kufikia.Ila nakushauri endelea nae mana unaujua ukwel,kwaiyo hamna haja ya kumkataa. Click to expand... nashukuru sana ushauri wako ni mzuri, lakini hata kama ni baba wa kufikia kwa kuwa ni bwana wa mamaake still bado is just like her father.